Search results

  1. S

    Simba Na Yanga Ni Timu Za Wanachama Au Matajiri Wafadhili Kwa Sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  2. S

    Ligi ianze, Naona Jirani Yangu Shabiki Wa Simba Ameanza Kunenepa

    Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
  3. S

    Taarifa Mpya Kuhusu JOHN BOCCO Kukipiga Ligi Kuu Msimu Ujao Tena

    Taarifa za ndani zinasema kwamba Bocco anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara akifunga mabao 154 katika misimu 16 akiipiku rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ aliyekuwa amefunga mabao 153 ndani ya misimu 13 amesajiliwa na JKT Tanzania...
  4. S

    Mambo 5 Simba Inatakiwa Kufanya Kabla Ya Kuanza Pre-Season

    IKO wazi kwamba Viongozi wa Simba wanapambana sana kurudisha heshima ya klabu hiyo na kuijenga timu upya lakini pia kurudisha Imani ya mashabiki na wanachama wa simba. Lakini kabla ya Pre-season kuanza Mnyama anatakiwa kuhakikisha mambo yafuatayo yanakamilika. Kumaliza kuagana na wachezaji...
  5. S

    Unataka VAR Vipi Kuhusu Miundombinu?

    Viwanja huna , Unafikiria Var ?. LIgi nzima viwanja vi 3 Tu Ndo vina miundombinu bora Lupaso, Chamazi, Uhuru ( inayokarabatiwa)..
  6. S

    Tunaobetia Magoli Tunakutana Hapa

    El Salvador vs Puerto Rico Over 1.5 Werribee City vs Kingston City Over 1.5 Mozambique vs Somalia Over 1.5 Czech Republic vs Malta Over 1.5 El Bayadh vs Biskra Over 1.5 Nigeria vs South Africa Over 1.5 Ivory Coast vs Gabon Over 1.5 Morocco vs Zambia Over 1.5
  7. S

    Tunaobetia Magoli Mkeka Wetu Huu Hapa

    Frederick vs Grove Soccer United Over 1.5 Macarthur Rams vs Canterbury Bankstown Over 1.5 Vaajakoski vs JJK Jyvaskyla Over 1.5 Central Africa vs Chad Over 1.5 Friedberg vs Gonsenheim Over 1.5 Keflavik vs Leiknir Over 1.5
  8. S

    mkeka wangu usiguswe huu

    Molde - Viking Molde Win 1.67 Zhodino - Dnepr Mogilev Zhodino Win 1.37 Aalborg - Vendsyssel DC & BTS: (1X & YES) 2.32 Sonderjyske - Kolding IF DC & BTS: (1X & YES) 2.38 Vestri - Stjarnan BTS & Total: (Yes & Over 2.5) 2.32 Metz - St Etienne 1st Half Total: (UNDER 1.5)...
  9. S

    Kijiwe cha TFF

    Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat) Kuanzia mwaka 2003 michuano ya FA haikuwa ikichezwa, hadi pale Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF, walipopata udhamini na wa Azam Media na ndipo mwaka 2015 ilipoanza kuchezwa tena, huku Yanga wakiendeleza ubabe wao tangu waanze...
  10. S

    Mkeka wangu wa magoli over 2.5

    Heidelberg Utd vs Dandenong Thunder Over 2.5 Broadmeadow vs Cooks Hill United Over 2.5 Bentleigh Greens vs Melbourne Victory U21 Over 2.5 Drassburg vs Wiener Viktoria Over 2.5 SV Oberwart vs SK Rapid (Am) Over 2.5
  11. S

    Wangapi wanajua app zinazotoa uhakika za kubeti?

    mambo vipi kama kichwa cha habari kinavyosema wangapi wanajua app zinazoza odds za uhakika maana nimechoka kuchana mikeka kila siku
  12. S

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Kwa msimu ujao Bodi ya Ligi Kuu imepanga kuweka kanuni za kuzikata alama timu zitakazojihusisha na vitendo vya ushirikina. Nini maoni yako?