Kijiwe cha TFF

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Hapa utakutana na taarifa zote za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambao ndio wanasimamia mpira wa Tanzania katika ngazi zote
 
May 27, 2024
14
7
5
Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat)

Kuanzia mwaka 2003 michuano ya FA haikuwa ikichezwa, hadi pale Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF, walipopata udhamini na wa Azam Media na ndipo mwaka 2015 ilipoanza kuchezwa tena, huku Yanga wakiendeleza ubabe wao tangu waanze kulichukua mwaka 1967 lilikuwa linaitwa kombe la FAT ambapo Yanga iliifunga Liverpool ya ILALA Mabao 2-0

Yanga ilitwaa taji la wanza la ASFC, kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC, kabla ya Simba kufanya makubwa kwa kuifunga Mbao FC kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

MIKOA ILIYOPIGWA FAINALI.

2015-16- Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.

2016-17-Jamhuri, Dodoma

2017-18- Sheikh Amri Abeid, Ausha

2018-19-Ilulu Lindi.

2019-20-Nelson Mandela, Rukwa

2020-21- Lake Tanganyika, Kigoma

2021-22-Sheikh Amri Abeid- Arusha

2022-23-Mkwakwani Tanga

2023-24- New Aman, Zanzibar

Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat)

Yanga SC kachukua mara 7 kuanzia mwaka, 1967,1974,1999,2001,2015/16,, 2021/22, 2022/23

Simba kachukua ubingwa wa FA mara 4 (1995, 2016/17, 2019/20, 2020/21)

Azam FC wao wamechukua ubingwa huo mara moja tu mwaka 2018/18.

Timu zingine zilizowahi kuchukua ubingwa wa FA, Majimaji ya Songea 1985, Sigara FC, 1996, Tanzania Stars 1997, 1998, Mtibwa Sugar 2000, JKT Ruvu 2002, 2003-2015 Haikuchezwa, 2017/18

Je mwaka 2023/24 atachukua nani kati ya Azam FC vs Yanga SC?
 
Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5

TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.

Kwanza mliona amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu.

Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya.

Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu?

Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo.

Kwa kifupi nimemdharau.
 
Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :

◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️

◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)

◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.
 
Ibraah12

Mgeni
May 16, 2024
7
3
5
TFF waliangalie Kwa jicho la pili
Pia Kwa bwana mdgo fei Bado anamambo ya kipuuzi yang ni taasisi na iposiku kunauwezekano akaludi Tena kwenye viunga vya jangwa yeye ni mchezaji popote anapata malisho👊 aache izo mambo zake😩
 
  • Like
Reactions: daniel manyama

salumsal

Mgeni
May 28, 2024
5
2
5
Yan kiufupi fei angeacha boli tu aendee kwenye uchekeshaji maan hana nidham maan ameshajiona mchezaji mkubwa
 
FUNGO JR

Mgeni
May 18, 2024
12
3
5
Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :

◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️

◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)

◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.
Hauna facts taarifa zako zipo kishabiki sana🤬
 
Adamjohn

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
1
0
0

TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.

Kwanza mliona amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu.

Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya.

Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu?

Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo.

Kwa kifupi nimemdharau.
Hayo nijambo ya hasira na ya kawaida mbona yanga walisha valishwaga medali Wengine hawa kuvaa acheni upenzi na team ...yanga akifanya kosa ha muzungumzi ila zikifanya Team zingine mazungumzo huo Sio mpira zungumzeni makosa yanayo fanywa na vilabu vyote sio vingine mnaviacha vingine mna vizungumzia mfano yanga kipindi kile anacheza na Azam mpira unatoka nje anarudisha ndani na kufunga magoli yote yalikuwa ya hivyo Azam wakatulia yanga kwenye league game Yao ya Mwisho na Azam baada ya Azam kumfunga yanga goal mbili mkasema lile goal la fei ni offside wakati ni goal ukirudi juzi tu hapa beki wa Team fulani alipewa kadi nyekundu ya MCHONGO ilivyo gundulika akafutiwa mbona goal walilo funga yanga halikufutwa na yanga wamekuwa wakifanya hivyo mara kwa mara wanapo zidiwa so magoli mengi ya yanga ni ya MCHONGO wa Refarii
 
kapikulila Alex

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
5
0
0
Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :

◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️

◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)

◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.

◉ 6 - Kushinda.

◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.
Huoni huyo ana mechi 7 na kuwa mchezaji Bora hskukuambia vhengiwi na matokeo tu Kuna vigezo pia vya Ziada !
 
Psychologically mwandishi una chuki binafsi katika hili pitia tena andiko lako 🙄
Exactly! Mchezaji mda wote anazomewa naye ni binadam
 
Mh Lêøñård khan

Mpiga Chabo
Jun 6, 2024
1
0
0

TFF onesheni makucha yenu kwa Feitoto

TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba ukavunjwa na kila mwenye akili timamu alishangaa.

Kwanza mliona amepuuza protokali za mchezo wa final wa kila mchezaji kuvalishwa medali ya dhahabu au shaba lakini yeye akawadharau TFF akaona medali ni kama ushuzi tu.

Mlimfungia Manara Kwa kuzozona na Rais wa TFF, mkamfungia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tabora, mlimfungia Mwakalelebela mkamfungia Nyoso alivomtia dole la kati John Boko n.k Swali ni je, huko Kwa mtoto wa kizimkazi mtamfunyaje? Nyie TFF mlivo waoga? Bila shaka mtakaa kimya.

Itakuwaje mkimwalika Rais wa FIFA avalishe medali then wachezaji wasuse kama alivofanya huyo asiyeguswa wa huko kizimkazi. Mtaiweka wapi aibu?

Sio uanamchezo huo kudharau protokali za mchezo wa final. Kufungwa ni sehemu ya mchezo, ukifungwa kubali na wewe ipo siku utamfunga mwenzako nae atakupa heshima kama guard of honor n.k wanafanya vile sio wajinga ni uanamichezo.

Kwa kifupi nimemdharau.
Ipo siku baadhi ya team italeta aibu na muda huo ukute mgeni rasmi rais wa caf hili halina mjandara au katika vipengere vya Sheria ya nidhamu inaruhusu mchezaji kufanya dharau mbele ya viongozi