Search results

  1. K

    Mechi za UEFA EURO Leo Nabetia Kona Tu

    SLOVAKIA vs ROMANIA Total Corners Over 7.5 UKRAINE vs BELGIUM Total Corners Over 7.5 CZECH vs TURKIYE Total Corners Over 7.5 GEORGIA vs PORTUGAL Total Corners Over 7.5
  2. K

    Ten Hag abaki Man utd

    sidhani atarudia ule mchezo aloufanya msimu ulioisha
  3. K

    Usajili Simba Wanaanza Na Huyu Hapa

    Goli nane sio mbaya kwakweli, aje tu tuone makali yake
  4. K

    Barbara Arudi Simba?

    Babra alikuwa kiongozi mzuri Simba, itakuwa walimzingua kweli na aliona haya majanga yanayotokea saivi nahisi ndo sababu kubwa kujiuzuru. labda akirudi Simba itakuwa kama zamani.
  5. K

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Huenda msimu ujao vilio na majonzi vikaanza na kutawala mapema sana Simba SC. 1. Wanatafuta beki wa kimataifa wa kushoto wa kumchalenji Tshabalala. 2. Wamekubaliana Mgunda kuwa kocha mkuu wa kudumu na sasa hawako kwenye mazungumzo na kocha mwingine yeyote. 3. Ayoub Lakred yupo kwao likizoni...
  6. K

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Wasikate tamaa wakae mezani waangalie walipokosea wajipange upya msimu ujao.
  7. K

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Anatufaa sana, ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa