Search results

  1. NGUVUMALI

    Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

    Fainali ya ng,ombe mnapambana mnakuta ni kijindama
  2. NGUVUMALI

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Kuanza na simba ni lahisi ndio maana ikawa simba na yanga jalibu ata wewe kusema yanga na simba alafu ujabu Tena simba na yanga uone nilipi linakaa
  3. NGUVUMALI

    FULL TIME : GUINEA 1 TANZANIA 2 | Leo Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO?

    Nina furaha kubwa japo Tanzania 🇹🇿 imenichania mkeka niliweka draw nimefurahi sana sana
  4. NGUVUMALI

    Mambo Ya Madai Ya FIFA Yanatuharibia Sana YANGA

    Mimi naona inatakiwa wawe viongozi wanaongea na wachezaji kabra ya kuachana nao ili kuepusha makosa ya mara kwa mara na fifa
  5. NGUVUMALI

    Tabiri Matokeo Ya Magoli Leo Ngao Ya Jamii Yanga SC vs SIMBA SC

    https://whatsapp.com/channel/0029Vage4B77dmeSYXdGq63K
  6. NGUVUMALI

    Tabiri Matokeo Ya Magoli Leo Ngao Ya Jamii Yanga SC vs SIMBA SC

    Yanga sc vs simba SC Full time 0-2 We huogopi vs ubaya Full time 0-2
  7. NGUVUMALI

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Kipa wa arrow na washambuliaji wa orrw kwaujumla
  8. NGUVUMALI

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Kunasiku imefika laki nataka Nikeshi aut wakAkwamisha ila unatupenda elimu kubwa sana hii umetupa
  9. NGUVUMALI

    Mkeka Wa Leo Jumapili 28/07/2024 Wa Kufunga Wikiendi

    Mnapenda kuomba code anatuma kwaajili ya watu wote ndio maana hatumi code anatuma team amzijuwi?
  10. NGUVUMALI

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Kibu inampasa kujuwa kazi haiendi namna hiyo kama alitaka kusepa angesema kwamba hayopo tiyali kusaini tena
  11. NGUVUMALI

    KIBU DENIS Leo Ni Siku Ya 16 Hayupo Kambini

    Yeye. Kilicho muhimu ndicho atakacho kishika akilazimishwa iyo Nikes nyingine anawezà kua sahem anayo weza fanya kitu akaacha kwasababu hajapenda ila kalazimishwa kwaiyo aache tu akirudi kwa sababu kasha Saini atakaa bench papo pajapotea
  12. NGUVUMALI

    Si Umeuona Usajili Wa Timu Yako? Fanya Kama Una Tangaza Mpira Mpaka Goli Linapatikana Kwa Kikosi Ambacho Mmekisajili

    Anaanza rakred anampigia shom sham anarudi kwa rakred anampigia che Malone Malone anapiga ndeeeeeefu inamkuta mutale mutale mutale anafinya wakwanza anafinya wapili anampa Pale Fernandez Fernandez anaitoa kwajuu kipa kakubalii mutaleeeeeeeeeeee oooooooh goal 🥅 gani hili ni man city au Liverpool...
  13. NGUVUMALI

    Mkeka Wa Leo 10/07/2024 Wewe Umesukaje Mkeka Wako?

    Tukushima ashinde asiruhusu goali
  14. NGUVUMALI

    Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

    Ni beki kweli kweli na nimtu anae ipenda kazi yake kwa moyo
  15. NGUVUMALI

    Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

    Slavius nguvumali Mimi nahisi Kuna namna mambo yajakaa sawa kwa namna maneno Yana ongeleka na viongozi pande zote mbili costal union na simba
  16. NGUVUMALI

    DERBY YA SUDAN Kupigwa Bongo Azam Complex ( AL HILAL vs AL MARREIKH

    Slavius nguvumali Mimi kama Mimi nafurahi sana kusikia Tanzania 🇹🇿 ndio nch inayoweza kuonakilio Cha nch nyingine na kuisaidia vitu mbali mbali watanzania tusibaki nyuma tujitokeze kushangilia na kuwatia moyo wasahau machafuko ya kwao sudan au wewe unaonaje admin