Search results

  1. @

    Mkeka Wa Leo Jumapili 25/08/2024 Wa Kufunga Wikiendi Kibingwa

    Nyie mnadai code wakat ye katuma kwa kawaida tu
  2. @

    Wana kijiweni mnaendeleaje? Nina swali kidogo=kwanini timu za bongo zinapokezana kila kitu mfano...

    Wana kijiweni mnaendeleaje? Nina swali kidogo=kwanini timu za bongo zinapokezana kila kitu mfano ubingwa,ubora wa timu,ubora wa wachezaji? na timu itakayokuwa vzr sana ndio itwae kila tunzo?? Mambo haya yapo toka muda sana sasa kwanini iwe hivo
  3. @

    SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut

    Ungesema mapema kaka kabla ya yooote haya,kinachoonekana saiv ni matunda ya baadae,miongozo hii wanayoifanya yanga basi simba miaka4 iliifanya ila now iko wapi,hata yanga saivi hakamatiki ila ikifika muda wa timu nyengne bc yanga atakuwa chini,kuna kitu kwenye ligi kwanni timu zisiwe bora kwa...
  4. @

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Muandishi ni uto,kabla ya mechi walifanya ule uswahili wao wa kuingia milango isiyo rasmi na baadhi ya wachezaji wote nusu yao hawakuingia kwenye basi lao,walifanya jana na mechi ya simba pia,hawa jamaa wako vizuri ila ushirikina nao wamuweka mbele sana,
  5. @

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Kama ndo uchezaji ule wa kulazimisha matokeo,bc tarehe8 msilete timu watani
  6. @

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 03/08/2024 Wa UBAYA UBWELA

    U nyama huu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  7. @

    Sio kama yanga inawashinda elfu5 kuingilia uwanjani hapana hilo nawatetea watani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚shida wamejengewa hio philosapia kwahyo wanakaa wanasubiri kitonga

    Tatizo sio kiingilio ila wamejengewa philosapia hiyo kwamba wanakaa wanasubiri nani atanunua tiket tukaingie,viongozi wabadilike wajenge misingi kama msimbazi
  8. @

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 29/06/2024 Chagua Mechi Zako Shinda Kivyako

    Admin waallah ushachoka hemu niweke mimi niongeze brain
  9. @

    Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

    We ni uto tunajua hata wauza madafu wapo humu
  10. @

    Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

    Admin leo umekula nini sio miwili ni misimu mitatu Tutamkumbuka kwa mengi mema yake alivoipambania nembo ya simba ila mwisho wa siku mpira ni matokeo na hii ni moja ya matokeo kwa mchezaji wetu na club yetu,aliweza kutoka congo akaja hapa ko sio mbaya tunamtakia safari njema maishani mwake mwa soka
  11. @

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Bro Bro mi niliumia kwa mkude sio chama
  12. @

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Mimi Nawaambia tu wasikose kumpa thank you chama kama kweli wapo siriaz kwa msimu ujao
  13. @

    Mambo 5 Simba Inatakiwa Kufanya Kabla Ya Kuanza Pre-Season

    Na tamani waone ulichoandika ila ndo hivo tena
  14. @

    Mkeka Wa Leo Over 1.5 Mechi 4

    Ahhh๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hatuitani familia
  15. @

    Mkeka Wa Leo Over 1.5 Mechi 4

    Mtaji kaka uwenao tushazoea kupata timu 4 za ov na timu5 za double chance tunatia elfu5,sasa mechi hizi upate pesa uweke shi ngapi