FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliowakutanisha Yanga Dhidi ya Red Arrows Kutoka nchini Zambia umetamatika Kwa Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?
 
  • Like
Reactions: nzira

Elipa @26

Mpiga Chabo
Jun 14, 2024
2
0
0
Ivi hiyo ni timu au ndo utopolo maana kama wamewagalamikia red arrows alaf wanamruhusu awazalilishe wakiwa kwao tena kweny tamasha lao hapo hamna timu