Search results

  1. J

    Haji Manara Acha Dharau Na Dhihaka Kwa Ali Kamwe , Yanga SC Imefaidika Nae 'Kibrandi' Kuliko Ulivyokuwepo

    Afungue Barbershop kama Tawi la Yanga, aendelee kusalia hapo, ili wachezaji na Benchi la ufundi wapate huduma toka Manara Barbeshop & Spa. Uongozi wa Hersi, jamaa hataki waropokaji na watukanaji. Manara kuna muda anrusha matusi, na si utani wa Jadi. Tusubiri mwafaka wa Club yake.
  2. J

    Hivi MANULA Si Kapona? Mbona Hayupo Na Simba Pre-Season?

    Kila zama na Kitabu chake, wakati wake umepita, ni muda wa Manula sasa wa yeye kutoka Simba na kwenda kutafuta changamoto sehem zingine.
  3. J

    Tetesi Zote Za USAJILI Hizi Hapa

    Wamezingua sana. Wanaweza kutana na vipigp mfululizo wakashangaa.
  4. J

    Simba Na Yanga Kupigwa Mara 3…Msimu Wa 2024/25

    Kwa upande wetu Mashabiki wa Simba, bado tunahoma ya kupigwa mfululizo katikati ya Msiku, na kuja kuoata ushindi mwishoni mwa msimu. Endapo strikers wetu tegemezi watakua ni Jobe na Fredy, basi mtani atatupiga nyingi katika historia ya Dabi kuwahi kutokea.