Search results

  1. O

    Sema kuna namna flani sahiv matapeli wamepungua eenh? au wamevumbua njia mpya??

    Matapeli bado wapo kazini Tena wengi tu. Sema wamebadilisha njia za kufanyia utapeli saiv wako wengi mno online platforms. Kwa mfano wafanya biashara za mtandaoni, wanaodai kuuza bidhaa Bora kw bei rahis mf electronic devices mf simu n.k, na bidhaa zingine, hususan wanaodai kutuma mikoani...