Sem kwl lundo la wachezaji wazur wakigeni liatufarij lkin kiwango cha timu ya taifa Bado kidogo sabab hpat ata Radha ya kuangalia game ya timu taifa huoni mipango lkin Kwa clubs unaona kbc mipango inasetiwa vzur mpira unaenda kwenye njia zake nk
Wengine wooote watapungua itabki mtu tano ndani ya track Moja yaΓ ni
5-Lutaro Martinez
4_Jude Bellingham
3_Viniciours
2_Halaand
1_ Mbape
Halfu sasa naona kbc Bellingham ndo mshindi