Dirisha La Usajili Linafungwa Leo,Umeridhika Na Usajili Uliofanywa Na Timu Yako?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Dirisha la usajili wa Ligi za Tanzania linafungwa hii leo Alhamisi Agosti 15, 2024... Bila shaka utakua ni miongoni mwa wale ambao wamefuatilia kwa kina kabisa usajii huu kuelekea msimu wa 2024/2025 Swali langu ni moja tu Umeridhika Na Usajili Uliofanywa Na Timu Yako? Mchezaji gani kwenye timu yako umefurahia kusajiliwa kwake na yupi ni mchezaji ambae usajili umebuma mapema?
 

joisi teri

Mgeni
Jun 4, 2024
8
1
5
Simba wanatimu nzuri sema wanaoiona ni mbovu ninwale wanaoifananisha na yanga. Watulie wachezaji waliosajiliwa wazoeane mwakani wanawezaipa yanga changamoto katika mbio za ubingwa. Kwasasa yanga itaendelea kusumbua ndani na nje ya nchi
 

kayila A kayila

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
1
0
0
usajili uko sawa japo refarii bado hususa kama Elisas angepelekwa kuchezesha ndondo tu japo tunamjua tumu anayoishabikia hafanyi vema kabisa