Search results

  1. R

    Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

    Ushirikina Njiwa aliganda juu ya goli la wapinzani watu kila tukipiga mali zinakula besela baada ya kupaa ndani ya dakika 1 chuma mbili za chap😂
  2. R

    How to Kill Kanjibahii

    Kindly Comment on my posts
  3. R

    How to Kill Kanjibahii

    For betting odds via sporty bet just dm siuzi mikeka we just share for the winning wakubwa
  4. R

    Mkeka Wa Leo Jumapili 08/09/2024 Mechi 3 Za UEFA NATIONS LEAGUE

    Anaetaka Mkeka😁Akuje Inbox natumia Sporty bet lakini 0688749475
  5. R

    Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?

    Mchezaji anaeweza kuanza kwa Yanga ni mmoja tu Ataanza Debora kucheza Double pivot ya Holding yeye na Aucho😅. Wengine wote watakula mbao ndefu mpk msimu uishe ukinuna uwe unasababu bhana... #WE HUOHOPI😁🖐🏾
  6. R

    Panga Kikosi Chako Unachotamani Kianze Kwenye Mchezo Wa Leo YANGA SC vs RED ARROWS

    SECOND HALF. 1.DIARRA 2.YAO 3.BOKA 4.BACCA 5.JOB 6.AUCHO 7.DUKE ABUYA 8.MAX NZENGELI 9.BALEKE 10.AZIZI KI 11.PACCOME SUB 》CHAMAAAAAAAAAAA
  7. R

    Panga Kikosi Chako Unachotamani Kianze Kwenye Mchezo Wa Leo YANGA SC vs RED ARROWS

    1.Khomen. A 2.Kibwana 3.Kibabage 4.Mwamnyeto 5.Andambwile 6.Mkude 7Nkane 8.Sureboy 9.Musonda 10.Shekhan 11.Mzinze.
  8. R

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Hatujui ni nini kinachoendelea baina yake na Mabosi zake na kama amepata mkataba na timu nyingine it's okay huenda Mabosi zake wa sasa wamefanya Ngumu so ameamuwa kujiongeza kwa namna hyo. But kwenye Ethics za Football Kibu D Mkandaji amezinguwa Na Amezinguwa Haswa
  9. R

    Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji

    Aucho,Andambwile,Sure boy,Mudathir, na ata Max Mpia ukimpa Jukumu la kucheza kama kiungo wa Chini anakuoffer kila kitu Yanga hajaingia kwenye Mtego Ameimarisha Safu yake ya Ushambuliaji ili kujihakikishia Ushindi... Nakumbuka Pep Gurdiola aliwahi kusema Hivi...The Best way of Posseing the...
  10. R

    Si Umeuona Usajili Wa Timu Yako? Fanya Kama Una Tangaza Mpira Mpaka Goli Linapatikana Kwa Kikosi Ambacho Mmekisajili

    Diarra anaamuwa anaze fupi na The Tank Aucho mwamba kutoka The Cranes anapaka mafuta mali ile pasi ya kutambalizaa kwake Azizi kiii yang ni wa moto ni kma kuna kitu wanatemgeneza Aziiz kii what a pass kwake Paccome bila hiya anaachi mali kwenda kwa Mwamba wa Lusaka chamaa baaba chamaa locomotive...
  11. R

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    😂kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mama Samia😂💔 Pili nyie wekundu wa Msimbazi Endeleeni tu Kufarakanaa😂Sisi Hayatuhusu
  12. R

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Yule Goal Keeper wa Azam 💥 Bhana Bhana Bhana Bhana😆 Anastasia kuwa Man Of The Match Aisee