Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre-season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia.

Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya?
 
Jul 1, 2024
9
2
5

Duke abuya pia anaweza cheza kama kiungo mkabaji
 
  • Like
Reactions: shuby and Mycojkhan
Jun 2, 2024
15
9
5
Aucho,Andambwile,Sure boy,Mudathir, na ata Max Mpia ukimpa Jukumu la kucheza kama kiungo wa Chini anakuoffer kila kitu Yanga hajaingia kwenye Mtego Ameimarisha Safu yake ya Ushambuliaji ili kujihakikishia Ushindi...
Nakumbuka Pep Gurdiola aliwahi kusema Hivi...The Best way of Posseing the football its to Score...Akiwa na maana unapoluwa una Score na una safe hatari ya Ushambuliaji Inamaanisha kuwa unauhakika wa Ushindi na umiliki wa soka Kila Game...
Hashimrumbyambya@gmail.com
688749475 Tssup
 
  • Like
Reactions: Mycojkhan

Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
7
3
6
Boko dovya
Viungo kiukweli ni wengi 🔥 lakini ninafikiri " namna ya kuwatumia wachezaji hawa inaitaji utulivu mkubwa kwa kocha na benchi lake hasa kuendana na mpinzani husika " Inaweza kuwa hivi .. !

Mfano. => Mkude + Andambwile ✓
=> Aucho + Mudathiri ✓
=> Aucho
pekee, juu awe MAX/MUDA/AZIZ/PACOME
=> Mkude pekee, juu awe SURE + MAX/ANDAMBWILE/CHAMA
=> Mkude pekee juu awe ANDAMBWILE + MUDA/SURE/SHEGHANI
=> Andambwile + MAX/MUDA

Ila yote hii itategemea na utimamu wa mchezaji husika.

NB ; Huyu abuye namuona akitumuka sana kwenye flancks kuliko katikati but according to his versatility anawez kuwa MAX Mpianakyusa kabisa. 🤣🤣

KUTOA MAONI TU ILA KUCHEZA AAAAH..... !!
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
22
3
5
Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre-season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia.

Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya?
Upo sahihi hata simba yalimkuta haya Kipato uleta majisifu
 
KIPATO ULETA MAJISIFU