Search results

  1. J

    KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?

    Hapo Bado Ukute anajiandaa January jangwani
  2. J

    Je, Baleke Aliihujumu Simba? Wachezaji Wa KiCongo Siyo Waaminifu

    Mi naona ni maisha ambayo yamezoeleka kwa Wachezaji wengi hapa tz hasa wakongomani Kwa sababu ni wale wale ukiachana na jean baleke lakin piah fiston Baada ya kuondoka Yanga na mwaka huu kufanyiwa mahojiano na Azam tv Alisema ujinga sana hivyo hivyo Kwa baleke 🤔 lakini kwa player aliyekamilika...
  3. J

    Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara

    Naona kijiwe kimekushinda Ni pointless kabisaa 🤣
  4. J

    Simba Waigawe Mara Mbili Simba Ya MO Na Ya Mangungu

    Nadhan Kuna haja ya wao kukaa chini na kuzika hizi tofauti maana kwa kilabu kubwa kama Simba imbayo ni namba 7 kwa ubora Afrika ni Aibu kwa kinachoendelea
  5. J

    AZIZ KI vs FEITOTO Nani Tunampa Kiatu Cha Ufungaji Bora Hapa Kijiweni?

    Nakuona Ki azizi akichukua kwa sababu saiv timu inamupambania yeye tu lakin Kwa wenzetu wanapambania nafasi ya pili pia