Search results

  1. Mak migezo

    Fei kasharudi kambini.!

    Klabu ya Azam wanaonekana wapo serious sana na nafasi ya pili wakizidi kuweka ngumu kwa mnyama Simba, baada ya leo kupata ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya wagonga nyundo wa Jiji la Mbeya, Klabu ya Mbeya City, mpaka sasa Klabu ya Yanga ndio inaongoza Ligi ikifuatiwa na Simba na nafasi ya tatu...
  2. Mak migezo

    Fei kasharudi kambini.!

    Inasemekana wapo ktk mazungumzo ili aongozwe mkataba mpya wenye kiasi cha pesa chenye maslahi kwa mchezaji
  3. Mak migezo

    SIMBA ANAMUOMBEA YANGA USHINDI

    Sidhani 😂😂
  4. Mak migezo

    𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫,𝐄𝐧𝐠𝐥𝐚𝐧𝐝 Manchester United tayari imefanikiwa kuwaongezea kandarasi wachezaji wao...

    𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫,𝐄𝐧𝐠𝐥𝐚𝐧𝐝 Manchester United tayari imefanikiwa kuwaongezea kandarasi wachezaji wao Marcus Rashford, Diogo Dalot, Fred huku pia wakiangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa PSV raia wa Uholanzi, Cody Gapko katika kipindi hiki cha dirisha dogo