SIMBA ANAMUOMBEA YANGA USHINDI

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Kwa Mara ya kwanza SIMBA atakuwa anamuombea Yanga kwenye #DarDerby kitu ambacho kitafanya Azam apate nguvu za kupiga mapacha wote ndani ya game moja BD3AE9B5-EE26-46E2-9768-913FF947907A.jpeg