Namkumbuka kipindi yanga wanamsajiri senzo ni baada ya Simba kumchukua Morrison ambaye kwa kipindi kile alikuwa msaada sana kwa Yanga ✌️ nikawambia yanga wametumia akili sana kumchukua senzo ambaye alikuwa analeta utulivu wa management ya Simba kipindi kile akahama nayo mpaka yanga ......🧵🧵...