NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

Leonard chengula

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
2
0
0
Ameongea maneno ya kisoka lakini ukija ukiangalia utekelzaji ni shidaa sasa ngoja tumwachee tuonee jaman ila mm namwombea tuu afanyee kweli
 

Fred

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
8
0
0
Wa mweke kijana mmoja m,bunifu
Awe CEO pale apige kazi kama hersi na beckham
Awa wazee wana mbinu za kale sana na mpira wa saiv ni wakibiashara zaid
 

mweuc

Mpiga Chabo
Jun 12, 2024
1
0
0
Unaweza ukawa ni miongoni mwa wale ambao wamepitwa na kile ambacho amekizungumza Mwekezaji na Rais wa heshima wa Klabu ya Simba Mo DEWJI
Hizi Hapa NUKUU 5 ambazo tumekuwekea Kutoka katika hotuba yake

NUKUU ZA MO DEWJI :

"Sitaacha Simba Leo Wala kesho , Niwaombe wanasimba wenzangu mtulie "

"Nitashirikiana na Viongozi wenzangu kukamilisha mabadiliko ya uongozi wa KLABU yetu ili wanachama wapate umiliki"

"Eneo la Benchi la ufundi halikuwa zuri , imepelekea kuondoa falsafa yetu ya PIRA BIRIANI , Tutalisuka upya Benchi la ufundi "

"Klabu yetu ipo kwenye kufanya Usajili , Pre season , Simba Day , Ngao Ya Jamii , Niwaombe sana Wana Simba wenzangu mtulie mtupe nafasi ya kujenga Simba mpya , yenye matarajio na mabadiliko ili Kila Mwanasimba atembee kifua Mbele, wanasimba tunatakiwa kuwa kitu kimoja "

"Tutafanya uwekezaji wa miundombinu inayofanana na hadhi ya Klabu yetu ya Simba SC kwenye viwanja vyetu vya Bunju"
Zote nimeelewa ila kusema try bado atakuwepo hapo ndo kanichanganya wanabebana hao