Search results

  1. Balyx_

    MESSI ANASHINDA UEFA YA 5 MSIMU HUU

    Tupo hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  2. Balyx_

    MESSI ANASHINDA UEFA YA 5 MSIMU HUU

    Hata kwa bahasha hii anaichukua
  3. Balyx_

    MESSI ANASHINDA UEFA YA 5 MSIMU HUU

    Ngoja uone. Hata kwa bahasha
  4. Balyx_

    MKEKA WA LEO

    Muue Mtibwa Sugar Muue Namungo GG game ya Yanga
  5. Balyx_

    MESSI ANASHINDA UEFA YA 5 MSIMU HUU

    Kwa mambo yalivyo sioni kama PSG atapata challenge kubwa maana ni kama nominees wa Ballon Dโ€™OR wote wapo pale, Mbappe atajitahidi kupigana ili abebe UEFA na atakuja kushtuka kwamb nguvu alizotumia zilikua zinamnufaisha Messi ๐Ÿ˜…
  6. Balyx_

    Shujaa Asiyeimbwa Emi Martinez..!

    Fundi mnooo kweli kweli. Anastahili pongezi
  7. Balyx_

    Players in 2025 requesting to sign for PSG ๐Ÿ˜‚

    PSG wamekuwa na kismati sana
  8. Balyx_

    MECHI YANGU BORA YA WORLD CUP 2022 NI ARGENTINA vs NETHERLANDS

    Hii mechi mbungi ilipigwa, jasho na damu viliwatoka wachezaji waliokua nabkiu ya kumkatisha tamaa Messi na Wengine wakiwa na Shauku ya kumuona Messi akifanikiwa. Mwisho wa siku wakajikuta wanatupa burudani yenye vitimbwi ndani yake haswaaa. Kwako wewe, ipi ilikuwa bora kuzidi hii?
  9. Balyx_

    AZAM WAKILIKOSA KOMBE MSIMU HUU NDO BASI TENA

    Ngoja tuone mpaka mwisho wa msimu, tutawashangaza
  10. Balyx_

    AZAM WAKILIKOSA KOMBE MSIMU HUU NDO BASI TENA

    Azam wamejipanga sana msimu huu kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja. Japokuwa changamoto ni nyingi kutoka upande wa Kariakoo ila naamini kama Argentina wameitwaa WC, basi huu ni msimu wa Azam Football Club kuishangaza Tanzania pia. Kombe Tunalitaka ๐Ÿ˜€
  11. Balyx_

    Pele ndio Goat of All time kama kigezo ni World Cup Trophy.

    Hamtokuja kunishawishi labda kwa Viboko ๐Ÿ˜‚
  12. Balyx_

    Robert Lewandowski Tulimdhulumu Tuzo Yake Ya Balloon D'or..!

    Aliyeshinda Ballon Dโ€™oR ndo aliyestahili