Pongezi Zote Kwa Mlinda Mlango Emi Martinez Kwa Kuipa Kombe Jingine Argentina,Mpaka Hivi Sasa Martinezi Ameipa Argentina Kombe La Copa America Na Kombe La Dunia.
Atakumbukwa Zaidi Na WA Argentina Kama Shujaa Wao Kama Ilivyokuwa Kwa Shujaa Wengine Wakina Diego Maradona Na Mario Kempes..!