Search results

  1. Mkwavinyika

    Bank of Tanzania: Viwango vya Kubadilisha fedha

    22 Disemba 2021 Sarafu Kununua Kuuza Wastani Tarehe ya biashara AED 622.519 628.573 625.546 22-Dec-21 ATS 146.7016 148.0014 147.3515 22-Dec-21 AUD 1630.4741 1647.2406 1638.8573 22-Dec-21 BEF 50.0413 50.4843 50.2628 22-Dec-21 BIF 2.1889 2.2053 2.1971 22-Dec-21 BWP 194.5504...
  2. Mkwavinyika

    Tanzania ingenunua Bitcoin za milioni 200 mwaka 2011 leo tungekua mbali

    Hesabu hazidanganyi.. Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea).. 200mil ni sawa na 86,956 usd (tuchukulie 1usd ni 2,300 Tsh). Kwa bei ya 1usd per bitcoin maana...
  3. Mkwavinyika

    Zanzibar yatafuta maoni ya wadau kuhusu cryptocurrency

    Waziri wa Nchi, Uchumi na Uwekezaji wa Zanzibar, Mudrick Soraga amesema watakutana na wadau wa fedha za mtandao ili kupata maoni kuhusu fedha hizo Watakutana na wadau katika wiki ya tatu ya mwezi huu, ili kujua kama kuna haja ya kutumia cryptocurrency kwenye miamala Rais wa Tanzania, Samia...
  4. Mkwavinyika

    Simba Sports Club Thread

    Uzi Maalumu wa Wekundu wa Msimbazi.
  5. Mkwavinyika

    MTIBWA SUGAR YAMTUPIA VIRAGO KOCHA OMOG

    KOCHA ya Mtibwa Sugar imetangaza kuachana na kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog baada ya miezi miwili tu tangu aajiriwe. Hili limekaaje wana Kijiwe?
  6. Mkwavinyika

    Hili la Vunjabei Mdhamini wa Simba kuwamwagia manoti Prisons limekaaje?

    Wana Kijiwe Klabu ya soka ya Tanzania Prisons imeingia mkataba wa kuzalisha vifaa vya michezo na Kampuni ya Vunjabei wenye thamani ya Sh60 milioni. Mkataba huo uliosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Fredy Ngajiro (Vunjabei) na Kaimu Kamishna wa utawala na usimamizi wa rasilimali...
  7. Mkwavinyika

    Mayele aibua jambo Yanga

    MJADALA mkubwa wa mechi ya Simba na Yanga iliyomalizika kwa suluhu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi iliyopita umeendelea kuwa ni ile bato ya straika Fiston Mayele na mabeki Joash Onyango na Henock Inonga na sasa straika huyo kazungumza kitu. Mashabiki wengi wanazungumzia kuhusu Inonga...
  8. Mkwavinyika

    Kocha Simba atoa faili la ubingwa

    SIMBA imebadilika! Ni kauli ya kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco ambaye amesema tangu amekichukua kikosi hicho timu imeimarika, lakini amelia na eneo la ushambuliaji. Pablo alisema amefanikiwa kulifanya eneo la ulinzi kuwa imara akitolea mfano nyota wake walivyocheza dhini ya Yanga...
  9. Mkwavinyika

    NEW: Matokeo ya #AzamSportsFederationCup πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - 14 Disembe 2021

    Dodoma Jiji 2-0 Pan African Coastal Union 2-0 Fountain Gate Mbeya Kwanza 2-1 Mwadui Fc Namungo Fc 1-1 Mashujaa (Pen.7-6) Polisi Tanzania 2-1 Kengold Sc
  10. Mkwavinyika

    Mechi za Leo

    Jumanne, Disema 14, 2021 16:00 Dodoma Jiji vs Pan African 16:00 Namungo Sc vs Mashujaa Fc 16:00 RuvuShooting vs Gwambina 16:00 Mbeya Kwanza vs Mwadui 16:00 Polisi Tanzania vs Kengold 16:00 Coastal Union vs Fountain Gate 19:00 Simba Sc vs JKT Tanzania
  11. Mkwavinyika

    Joel Matip kurejea Cameroon?

    Beki wa kati wa Liverpool Joel Matip anafikiria kurejea katika Timu ya Taifa ya Cameroon. Maamuzi ya mlinzi huyo ni baada ya Samuel Eto'o kushinda kiti cha Urais wa shirikisho la soka nchini humo FECAFOOT Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali kutoka Cameroon, wachezaji wengi huenda wakaamua...
  12. Mkwavinyika

    Yanga Thread

    π—‘π—˜π—«π—§ 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 Timu ya Wananchi Jumatano tarehe 15/12/2021 inashuka dimbani kwenye mchezo wetu wa kwanza Kombe la...
  13. Mkwavinyika

    BARCELONA KUMENYANA NA NAPOLI EUROPA LEAGUE

    MABINGWA wa zamani wa Ulaya, Barcelona watamenyana na Napoli katika mechi za mchujo za UEFA Europa League baada ya kutolewa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Barcelona wamejikuta katika Europa League kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2003-04, baada ya kumaliza nafasi ya tatu...
  14. Mkwavinyika

    Inonga afunguka mazito Simba

    SHIRIKISHO la mpira wa miguu la DR Congo wala halikukosea kumchagua Henock Inonga Baka β€˜Varane’ kuwa beki bora wa msimu uliopita kutokana na kiwango bora alichonacho. Katika mchezo wa dabi dhidi ya Simba miongoni mwa wachezaji waliokuwa katika kiwango bora ni Inonga aliyeifanya safu ya ulinzi...
  15. Mkwavinyika

    VITA YA MESSI NA RONALDO

    TIMU ya Manchester United itamenyana na Paris Saint-Germain katika hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Mabingwa watetezi, Chelsea watavaana na timu nyingine ya Ufaransa, Lille. Katika droo iliyopangwa leo Jijini Nyon nchini Uswisi, timu nyingine za England, Liverpool itamenyana na...
  16. Mkwavinyika

    RATIBA KAMILI 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

    Benfica vs Real Madrid Villarreal vs Man City Atletico vs Bayern Salzburg vs Liverpool Inter vs Ajax Sporting vs Juventus Chelsea vs Lille PSG vs Man Utd Mechi ipi unaisubiri kwa hamu?
  17. Mkwavinyika

    Upi mtazamo wako katika vita ya Simba, GSM na TFF?

    ISHU ya mkataba wa GSM na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imebadilika baada ya jana Simba kugomea mkutano wa maandalizi sababu kubwa ikitajwa ni kuwemo na mabango ya mdhamini mwenza huyo wa Ligi Kuu Bara. Mkutano huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa TFF uliopo Karume huku wawakilishi wa Simba nao...
  18. Mkwavinyika

    Simba katika njia ngumu ya kusaka taji Afrika

    Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba, wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-2 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika hatua ya mwisho ya mchujo ambapo mechi zake za mwanzo zilichezwa Novemba 28 na mechi za marudiano...
  19. Mkwavinyika

    Mo atoa billion 2 kujenga Uwanja Simba

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohamed Dewji 'Mo' amehahidi kutoa Sh2 billion kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wao mpya. Simba inamiliki uwanja wa mazoezi Simba Mo Arena uliopo Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambao ulipunguza matumizi makubwa ya pesa ambazo...