Search results

  1. M

    Tuzo Za Ligi Kuu Mnazipangaje?

    Mfungaji Bora- Stephen Aziz ki Mchezaji Bora-feisal salum Golikipa Bora- Ley Matampi Beki bora-Ibrahim Abdullah Coach Bora-Miguel Gamondi Timu yenye nidhamu Singida Fontaine gate Mchezaji Bora chipukizi Ladack chasambi KIKOSI BORA CHA MSIMU 1.Djigui Diara 2.Attohoula Yao 3.Mohamed...
  2. M

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Hivi unajua hali ya huo uwanja ambao wameughairisha fainali kuchezwa hapo au unasema tuu hapo wameangalia maslahi ya mrusha matangazo ambaye ni Azam TV kupata nafasi ya kutosha kufunga vitendea kazi , wameangalia ukubwa wa timu zinazo kutana wamegundua kuwa usalama utakuwa mdogo cause Mashabiki...
  3. M

    Shaffih Dauda vs Zaka Zakazi Nani Yuko Sahihi?

    Shaffih kaongea ukweli na zakazakazi katetea brand ya klabu yake lakini Azam kumaliza ikiwa nafasi ya pili no ngumu sana labda waweke undugu pembeni dhidi ya Simba SC kitu ambacho shaffih ameshindwa kukiweka wazi