Tuzo Za Ligi Kuu Mnazipangaje?

Gamondi

Mgeni
May 27, 2024
18
14
5
Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilika kwa michezo yote kupigwa kwa wakati mmoja ni wakati wako sasa kupanga tuzo zako kama mimi nimepanga hivi
Ligi Imeisha

Bingwa πŸ‘‰ Yanga

Mfungaji boraπŸ‘‰ Aziz Ki

MVPπŸ‘‰ Fei Toto.

Kipa Bora πŸ‘‰Matampi



Apo vipi ?
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

salumsal

Mgeni
May 28, 2024
5
2
5
Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilika kwa michezo yote kupigwa kwa wakati mmoja ni wakati wako sasa kupanga tuzo zako kama mimi nimepanga hivi
Ligi Imeisha

Bingwa πŸ‘‰ Yanga

Mfungaji boraπŸ‘‰ Aziz Ki

MVPπŸ‘‰ Fei Toto.

Kipa Bora πŸ‘‰Matampi




Apo vipi ?
MvpπŸ‘‰kipre
Mfungaji bola πŸ‘‰aziz k
Bingwa πŸ‘‰yanga
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

paul

Mgeni
May 20, 2024
5
1
5
Mvp hapatikan kwa idad ya magoli bali mvp ni mchezaj alie isaidia tm kupata matokeo kwenye nyakat ngum na mataji kama kifungashio
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

jj hotel

Mgeni
May 28, 2024
2
2
5
Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilika kwa michezo yote kupigwa kwa wakati mmoja ni wakati wako sasa kupanga tuzo zako kama mimi nimepanga hivi
Ligi Imeisha

Bingwa πŸ‘‰ Yanga

Mfungaji boraπŸ‘‰ Aziz Ki

MVPπŸ‘‰ Fei Toto.

Kipa Bora πŸ‘‰Matampi




Apo vipi ?
Bingwa πŸ‘‰yanga
MvpπŸ‘‰aziz ki
Kipa bora πŸ‘‰matampi
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

jj hotel

Mgeni
May 28, 2024
2
2
5
Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilika kwa michezo yote kupigwa kwa wakati mmoja ni wakati wako sasa kupanga tuzo zako kama mimi nimepanga hivi
Ligi Imeisha

Bingwa πŸ‘‰ Yanga

Mfungaji boraπŸ‘‰ Aziz Ki

MVPπŸ‘‰ Fei Toto.

Kipa Bora πŸ‘‰Matampi




Apo vipi ?
Bingwa πŸ‘‰yanga
MvpπŸ‘‰aziz ki
Kipa bora πŸ‘‰matampi
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

BHK

Mpiga Chabo
May 28, 2024
1
1
0
Kocha Bora - Dabo
MVP. - Aziz Ki
Top Scorer - Aziz Ki
Beki Bora. - Bacca
Chipukizi. - Chasambi
Timu Yenye Nidhamu - Tabora
KIpa Bora - Matampi

Fair Play - Max
Kiungo Bora - Aziz Ki
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Leonbway_Tz

Mgeni
May 28, 2024
2
1
5
Coach: gamondi
Kipa bora:Matampi
Mfungaji bora:Aziz ki
Beki bora :Bacca
Kiungo bora: Feisal toto
MVP:Aziz ki
Wonder kid:Najim mussa
Fair play:nzengel max
Timu bora:yanga
Timu yenye nidhamu:Tabora United
Kikosi bora formation 4-3-3
1.matampi
2.pascal msindo
3.yao kwasi
4.ibrah bacca
5.dick job
6.Aucho
7.Max nzengel
8 Fei toto
9.wazir Jr shemtembo
10:Aziz ki
11.Clatous chama
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mkuda konki

Mgeni
May 2, 2024
3
2
5
Mfungaji Bora- Stephen Aziz ki
Mchezaji Bora-feisal salum
Golikipa Bora- Ley Matampi
Beki bora-Ibrahim Abdullah
Coach Bora-Miguel Gamondi
Timu yenye nidhamu Singida Fontaine gate
Mchezaji Bora chipukizi Ladack chasambi
KIKOSI BORA CHA MSIMU
1.Djigui Diara 2.Attohoula Yao 3.Mohamed Husein 4.Dickson Job 5.Ibrahim Abdullah 6.Kharid Aucho 7.Maxi Nzengeli 8.Pacome Zouazoua 9.Wazir Junior 10.Feisal salum 11.Stephen Aziz Ki
 
  • Like
Reactions: Kijiweni