Search results

  1. M

    Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu

    Alafu Admin unazingua hebu tupoze wanafamilia wako na Goryanah kama VP au
  2. M

    Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu

    Te Tena huyu anaejiita Shaf sijui saffii Dauda naona kama ana poshen yake Simba sijawahi ona mchambuzi mpuuzi kama huyu cjajua Nia yake niipi🏹
  3. M

    Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

    🤣🤣🤣 Mbona kama kunawatu mnajal xana migogoro ya Simba sc? Na hamkumbuki kipindi cha bakuri🤫🤫 Good time sun inakuja Kwa mwendo 💪🏇
  4. M

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Maana pia hata yye anaweza sema hayoo kama self defence ili azid kuaminiwa Zaid
  5. M

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Kocha Yuko Sawa mabadiliko yanahitajika but sizani kama siku hiyo ingeshindikana kama wangekaa wakajadili kwamba manual asidake siku hiyo Kwa maana hiyo hata yye alihusika Kwa timu kupoteza point Kwa kichapo cha aibu ikiwezekana na yy achafue zake Tu
  6. M

    Matampi Wa Coastal Union Ni Mbadala Sahihi Wa Lakred Simba?

    But Ally Salum mbona hatumuon hata kikosi cha pili?
  7. M

    Matampi Wa Coastal Union Ni Mbadala Sahihi Wa Lakred Simba?

    Binafsi Simba naona bado inahitaji kuboresha Zaid sehemu ya ulinz then mengine yatafuaata