Katika dunia ya sasa ya Teknolojia, ubunifu wa soko ni jambo LA msingi sana.
Sekta ya Real Estate ni hub au roho katika maisha ya biashara na makazi: kila aina ya biashara inategemea kwanza makao(ofisi), iwe ni kiwanda, iwe ni Biashara ya mazao, iwe ni duka, na haishangazi hata mwekezaji...