Ujasiriamali katika Real Estate & Ujenzi Majumba

Moudy Jr.

Mpiga Chabo
May 22, 2024
1
0
0
Katika dunia ya sasa ya Teknolojia, ubunifu wa soko ni jambo LA msingi sana.
Sekta ya Real Estate ni hub au roho katika maisha ya biashara na makazi: kila aina ya biashara inategemea kwanza makao(ofisi), iwe ni kiwanda, iwe ni Biashara ya mazao, iwe ni duka, na haishangazi hata mwekezaji anapofikiria kuwekeza katika Biashara yoyote ile, mdau wa kwanza kufikiriwa na kupewa kipa-umbele ni mmiliki au mwekezaji katika sekta ya makazi (Real Estate Owner).

Sekta ya makazi ndio inayowapa kiburi mataifa madogo kuonekana kuwa ni mataifa makubwa yenye nguvu ya kifidha na kiteknolojia duniani na kusimama kifua mbele hata mbele ya mataifa makubwa the Super Power💪💪. Tuchukue mfano mdogo wa Taifa la Dubai (Milki Ya Dubai) na ISRAEL. Tutachambua kwa kina ufanisi wa mataifa haya mawili katika nyuzi (threads🧵) zitakazofuata.

Lakini leo tugusie kidogo umuhimu wa utambulisho (Logo) kwa wafanyabiashara wa Real Estate wanaoanza (beginners).

Hata kabla ya kuendelea, ni ukweli usio shaka yoyote, Biashara ya Real Estate nayo inafanyika kwa asilimia zaidi ya 80% kupitia mitandaoni (online) kama njia kubwa zaidi ya kutafuta au kuwakutanisha wateja. Ndio kusema, uhalisia, usahihi, uaminifu(customer confidence) hujengwa kwa asilimia kubwa kwa namna unavyojitambulisha kwenye soko la mtandaoni kupitia Logo au Bango zuri litakalokufanya usimame mbele ya dealers wengine...
@coolarts_studio ni watengenezaji wa logo na mabango bora ya Real Estate yatakayokutangaza katika soko la ushindani.
Napatikana kupitia Instagram @coolarts_studio au simu ya kiganjani🤳 0616322673.