Mi naona ni maisha ambayo yamezoeleka kwa Wachezaji wengi hapa tz hasa wakongomani
Kwa sababu ni wale wale ukiachana na jean baleke lakin piah fiston Baada ya kuondoka Yanga na mwaka huu kufanyiwa mahojiano na Azam tv Alisema ujinga sana hivyo hivyo Kwa baleke 🤔 lakini kwa player aliyekamilika...