Search results

  1. ENGINEER MLANGWA

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Hebu kwanza nicheke maana yajayo yanafurahisha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ C.C.Chama ataanza kununa LIGI KUU YA NBC itakapoanza huu ni mwanzo tu โœ…โœ…
  2. ENGINEER MLANGWA

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makiniโ€ฆSimba No Stress

    Kuna wakati ukweli ubaki kuwa ukweli na tuache unafiki SIMBA ni mzoefu na anambinu za kujitetea pale anapokuwa nafasi ngumu lakn kilichoangusha maendeleo msimu huu ni figisu ndani ya uongozi na hilo swala limeshughulikiwa MO DEWJI yupo ndani ya BODI sasa tusubiri wachezaji wapewe morari then...
  3. ENGINEER MLANGWA

    Mkeka Wa Leo Jumatano 26/06/2024 Chagua Mechi Zako

    Tuweke imani nayo imani itatuponya zigo la muhindi litick โœ… kwetu ๐Ÿ˜
  4. ENGINEER MLANGWA

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Kumuacha chama sio kosa wala si tatizo , lakini tatizo ni pale Simba itakapokosa wakiwango zaidi ya kile walichokifukuza HOT ๐Ÿ”ฅ