Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa mashindano ya Kimataifa, Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa Afrika, na Simba SC na Coastal Union watawakilisha Taifa upande wa Kombe la Shirikisho.

Yanga ni bingwa wa Ligi Kuu na Azam FC alimaliza kwenye nafasi ya pili hali inayompatia tiketi hiyo kwa mara ya kwanza, baada ya miaka mingi kupita.

Yanga ni moja ya klabu inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kufika mbali kwenye mashindano hayo, kutokana uzoefu wao wa misimu miwili ambao Azam FC hawana huo uzoefu, hivyo wanahitaji umakini mkubwa sana kuzicheza mechi hizo.

Kanuni za mashindano ya CAF, haswa kwa upande wa Ligi ya mabingwa Afrika inaeleza kwamba, endapo klabu itafungwa kwenye michezo ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa, na kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya CAF, itaondoshwa moja kwa moja kwenye mashindano hayo.

Hivyo haitoruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la shirikisho kama ilivyokuwa hapo awali.

Pia kanuni za mashindano hayo inaendelea kwa kufafanua kwamba, timu zitakazofuzu kutoka hatua ya pili ya awali ya kombe la shirikisho, zitaingia moja kwa moja hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Kwa upande wa Simba SC kanuni hizo na kwa uzoefu wao jinsi ya kucheza mashindano hayo, sio shida sana kwenye kanuni hizi, wana uzoefu mkubwa sana kulinganisha na Yanga SC, Azam FC, Coastal Union.

Simba imeendelea kujiimarisha kwa kufanya sajili za wachezaji wengi, ikiwemo Elie Mpanzu, dili la Yusuph Kagoma lipo sehemu nzuri zaidi kutika, Lameck Lawi na kuna tetesi za wachezaji wengine wengi.

Unadhani wanatakiwa kufanya nini?
 
Chief.Maphie

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
1
0

Kila mmoja akakomae na hali yake tu hakuna namna ingine.😀😀😀
 
IddyPengo

Mgeni
May 27, 2024
2
1
5

Cha msingi timu zote zijiandae vizuri ili zikatuwakilishe katika makombe yote mawili Afrika. klab bingwa na shirikisho yote ni makombe makubwa na timu zetu zikifanya vizuri basi Tanzania itakua kwenye nafasi nzuri kimpira Afrika.
 
Newton

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
8
0
0
Uzoefu gani alionao simba? kapigwa kama ngoma msimu uliopita nation al ahly wamempasua simba nje ndani uzoefu gani, tusiishi kwa kukariri.
 
#chimpo

Mpiga Chabo
Jun 18, 2024
1
0
0
Uzoefu gani alionao simba? kapigwa kama ngoma msimu uliopita nation al ahly wamempasua simba nje ndani uzoefu gani, tusiishi kwa kukariri.
Unajizima data mkuu au una sahau kam simba kaenda club bingwa mala nne mfululizo na supercup na kasare nae nyumbn na ugenini timu yako imewahi kufanya hivyo kweny ligi yoyot ww na uyo al ahly wako
 
ENGINEER MLANGWA

Mpiga Chabo
May 24, 2024
5
0
0
Kuna wakati ukweli ubaki kuwa ukweli na tuache unafiki SIMBA ni mzoefu na anambinu za kujitetea pale anapokuwa nafasi ngumu lakn kilichoangusha maendeleo msimu huu ni figisu ndani ya uongozi na hilo swala limeshughulikiwa MO DEWJI yupo ndani ya BODI sasa tusubiri wachezaji wapewe morari then wapambanie timu
 
maiko1

Mpiga Chabo
Jun 13, 2024
1
0
0
WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa mashindano ya Kimataifa, Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa Afrika, na Simba SC na Coastal Union watawakilisha Taifa upande wa Kombe la Shirikisho.

Yanga ni bingwa wa Ligi Kuu na Azam FC alimaliza kwenye nafasi ya pili hali inayompatia tiketi hiyo kwa mara ya kwanza, baada ya miaka mingi kupita.

Yanga ni moja ya klabu inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kufika mbali kwenye mashindano hayo, kutokana uzoefu wao wa misimu miwili ambao Azam FC hawana huo uzoefu, hivyo wanahitaji umakini mkubwa sana kuzicheza mechi hizo.

Kanuni za mashindano ya CAF, haswa kwa upande wa Ligi ya mabingwa Afrika inaeleza kwamba, endapo klabu itafungwa kwenye michezo ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa, na kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya CAF, itaondoshwa moja kwa moja kwenye mashindano hayo.

Hivyo haitoruhusiwa kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la shirikisho kama ilivyokuwa hapo awali.

Pia kanuni za mashindano hayo inaendelea kwa kufafanua kwamba, timu zitakazofuzu kutoka hatua ya pili ya awali ya kombe la shirikisho, zitaingia moja kwa moja hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Kwa upande wa Simba SC kanuni hizo na kwa uzoefu wao jinsi ya kucheza mashindano hayo, sio shida sana kwenye kanuni hizi, wana uzoefu mkubwa sana kulinganisha na Yanga SC, Azam FC, Coastal Union.

Simba imeendelea kujiimarisha kwa kufanya sajili za wachezaji wengi, ikiwemo Elie Mpanzu, dili la Yusuph Kagoma lipo sehemu nzuri zaidi kutika, Lameck Lawi na kuna tetesi za wachezaji wengine wengi.

Unadhani wanatakiwa kufanya nini?
Kuibia kusajili ni kwingi