Mabingwa Wa Kombe La Shirikisho Tangu Lianzishwe (Fat)
Kuanzia mwaka 2003 michuano ya FA haikuwa ikichezwa, hadi pale Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF, walipopata udhamini na wa Azam Media na ndipo mwaka 2015 ilipoanza kuchezwa tena, huku Yanga wakiendeleza ubabe wao tangu waanze...