Huenda msimu ujao vilio na majonzi vikaanza na kutawala mapema sana Simba SC.
1. Wanatafuta beki wa kimataifa wa kushoto wa kumchalenji Tshabalala.
2. Wamekubaliana Mgunda kuwa kocha mkuu wa kudumu na sasa hawako kwenye mazungumzo na kocha mwingine yeyote.
3. Ayoub Lakred yupo kwao likizoni...