Search results

  1. D

    Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

    Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
  2. D

    Wasemaji Simba Na Yanga Punguzeni Komedi, Mnaboa Watu Wazima

    Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa...
  3. D

    Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?

    Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa Habari wake Abbas El Sabri umefunguka kwamba hautambui utambulisho huo na kubainisha kwamba hizo ni taarifa za kufurahisha na kuchekesha za mitandaoni. “Siku hizi mitandaoni kuna...
  4. D

    Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

    Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power...
  5. D

    Barbara Arudi Simba?

    Uongozi wa Simba upo kwenye mabadiliko ya ndani ambapo nafasi zinazohusishwa sana, ni nafasi ya CEO Iman Kajula ambaye amekubali kujiuzulu kwenye nafasi hiyo, pamoja na nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungenzi inayokaliwa na Salim Try Again. Kuna mabadiliko kadhaa ambayo tayari yamefanyika...
  6. D

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    MSIMU UJAO SIMBA TUJIPANGE VIPI? UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na...
  7. D

    Hapa Dortmund Pale Real Madrid Ni Kivumbi Dimba La Wembley Nani Kuwa Bingwa?

    Dimba la Wembley linalopatikana nchini Uingereza katika jiji la London litawaka moto leo kwani unaenda kupigwa mchezo wa kibabe wa fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baina ya klabu ya Real Madrid dhidi ya klabu ya Borussia Dortmund. Klabu ya Borussia Dortmund wanarudi tena Wembley baada ya miaka...
  8. D

    Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

    Tuzo mpaka kwenye ngao ya jamii !!? Mnauhakika gani wachezaji walioshinda hizo tuzo watakuwa bado wapo ligi kuu Tanzania bara wakati usajili utakuwa umefanyika !!! WAZO LA HOVYO KABISA
  9. D

    MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA

    Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Yanga, Haji Omary maarufu kama Mzee Mpili amesema kuwa yuko radhi kutoa figo yake iuzwe ili achangie pesa kumbakisha klabuni hapo kiungo mshambuliaji wao, Stephanie Aziz Ki. Aziz Ki ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu, anatajwa kuwa...