Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
Kijiwe hiki kinawakutanisha mashabiki wa klabu ya Simba hapa Kijiweni ambapo tuwe tunajadiliana kuhusu klabu ya Simba na mambo yake kwa ujumla kama matokeo ya mechi, usajili na mechi za timu yetu
 
Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
John Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!

Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi! ✨

Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.

Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
 
Sekula Issa

Mgeni
May 31, 2024
2
2
5
Mtu wa mfano mzuri wa kuigwa kwa wachezaji wengi wazawa hasa vijana.

Nidhamu, bidii, juhudi na upambanaji katika umri sahihi na bila kujisahau huleta mafanikio katika kila hatua.

Clement Mzize, Ladack Chasambi, Najim Mussa, Edwin Balua na wengineo wana cha kuchukua toka kwa John Boko tangia amaeanzia safari yake ya maisha ya mpira Azam, Simba na hata timu ya Taifa pia.

All the best Boko.
 
  • Like
Reactions: Amir

jong

Mgeni
May 31, 2024
2
1
5
Ma strikers wa kibongo wana mengi ya kujifunza kutoka kwa captain John bocco, yeye ni kama kioo kwa akina Mzize, Waziri Jnr na wengine wengi, kila lakheri kwenye majukumu yake yajayo ya ukocha, Hopefully atafanya vyema pia kama akina ( mgunda)
 
  • Like
Reactions: Amir

mottograyson

Mpiga Chabo
May 31, 2024
2
0
0
John Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!

Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi! ✨

Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.

Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
Huyu ndie mfungaji bora wa mda wote wa ligi kuu pia alikua akiwepo uwanjani anaakikisha utulivu unakuepo kwa wachezaji wenzake itoshe kusema ni mfano wa kuigwa
 
Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
John Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!

Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi! ✨

Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.

Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
Ni hatua kubwa na kwasababu ana utulivu naamini atafanya vizuri kwenye safari yake ya ukocha.
 
Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
John Bocco ametangaza kustaafu kwake kutoka soka akiwa na umri wa miaka 34!

Kipenzi cha mashabiki. Nguli wa klabu. Nahodha. Kiongozi! ✨

Bocco sasa ataelekeza nguvu zake katika taaluma ya ukocha.

Mashabiki wa Simba, shirikisheni kumbukumbu zenu nzuri za nahodha wenu..
mi nina wasiwasi na huo umri ila namtakia kila la heri :D
 
Bplm1664

Mpiga Chabo
May 30, 2024
13
0
0
John Raphael Bocco papaa captain fantastic kabisa kutokea nchini nidhamu yake magoli aliyoyafunga maisha yake nje ya uwanja na ndani ya uwanja ameacha alama kubwa sana katika soka la nchi yetu na ameacha kazi kubwa kwa vijana kuvunja rekodi zake
NI HIVO TU KWA LIVING LEGEND PAPA JOHN RAPHAEL BOCCO mtu wa maana kabisaa
 
James Myovela

Mpiga Chabo
May 29, 2024
3
0
0
Kwa upande wa kucheza amemaliza apambane na taaluma nje ya kucheza. Kwa Bocco Sina mashaka nae pale Simba atafanikiwa kutoboa kupitia ukocha
 
DeviMitupio

Mgeni
May 27, 2024
9
4
5
MSIMU UJAO SIMBA TUJIPANGE VIPI?

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ni huzuni kubwa imetawala kwa wakati huu kutokana na kushindwa kufikia malengo yao kwa asilimia kubwa msimu wa 2023/24.

Ipo wazi kuwa ni namba tatu imegotea kwenye ligi ikiwa na pointi 69 tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga dhidi ya Azam FC iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. CRDB Federation Cup imepishana nalo kama ilivyokuwa kwenye taji la ligi.

Ukuta ule wa Simba wenye Che Malone baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 uliruhusu mabao 25 na safu ya ushambuliaji ilifunga mabao 59.

Wakati Simba ikishuhudia taji la ligi likiwa mikononi mwa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika iligotea hatua ya robo fainali ikikwama kutwaa taji hilo kubwa Afrika na iliposhiriki African Football Cup iligotea hatua ya robo fainali.

Simba ni mashuhuda wa bingwa mpya wa CRDB Federation Cup kuwa ni Yanga iliyoshinda kwa penalti 6-5 dhidi ya Azam FC kwenye fainali iliyochezwa Juni 2 2024, Uwanja wa New Amaan Complex..
 
May 27, 2024
7
2
5
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?