Search results

  1. G

    Hivi Pale Uwanja Benjamin Mkapa Kunafanyiwa Marekebisho Kweli? Mmeuna AMAHORO Wa Rwanda?

    Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia nguo n.k ni vitu vya ndani sio vitu ambavyo watazamaji waliopo uwanjani na waliopo kwenye Tv majumbani...
  2. G

    Yanga hii ni kama maji usipoyanywa utayaoga, mechi 6 magoli 13 karuhusu magoli 4 tu!

    Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0, kamchapa...
  3. G

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

    Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga SC. Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15...
  4. G

    Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake

    MKUDE KATUFUNZA Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake. Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini...
  5. G

    Chama Anasajiliwa Yanga Kwa Ajili Ya Kuuza Jezi Na Kuongeza Tu Umaarufu Wa Brand Ya Yanga

    Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu. Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha. Yanga wanapata sifa...
  6. G

    Kinachoendelea Kuhusu AUGUSTINE OKRAH Ni Funzo Kwa Yanga

    Anaitwa Augustine Okrah 'Magic' mchezaji ambaye alisajiliwa ndani ya Yanga SC katika dirisha dogo la usajli, Okrah ni mchezaji mzuri sana na uwezo wake ni mkubwa mno awepo uwanjani. Kinachoendelea kati yake na uongozi kama ambavyo habari zilivyo ndio kitu ambacho nimeshindwa kukielewa, upo...
  7. G

    Simba Waigawe Mara Mbili Simba Ya MO Na Ya Mangungu

    Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba. Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua upande mnao taka.Tumechoka na mivutano yao isiyo na tija.
  8. G

    Kuvunja Mkataba wa Jobe Simba Wanatakiwa Kulipa Million 700

    UNAMKUMBUKA PAR OMAR JOBE? Strika la Magoli aliyeshindwa kufanya maajabu ndani ya Mitaa ya Maimbazi, tangu atue Simba katika dirisha dogo. Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kwamba hawafikirii kuachana na mchezaji Par Omar Jobe kwani ni mchezaji mzuri. Murtaza Mangungu...
  9. G

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni...
  10. G

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Gamondi anaondoka Yanga? Miguel Gamondi amesema kwamba baada ya msimu kumalizika akiwa na mafanikio makubwa na klabu hiyo, anahitaji kuondoka Yanga. Gamondi alifunguka kila kitu, baada ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho ambapo Yanga walitwaa taji lao la tatu mfululizo. “Msimu ulikuwa...
  11. G

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Nani Kati ya hawa anayestahili kuvaa kitambaa cha unahodha katika YANGA ijayo; 🔹 Djigui Diarra 🔹 Dickson Job 🔹 Khalid Aucho 🔹 Pacome Zouzoua 🔹 Ibrahim Bacca Vigezo vya kuzingatiwa; - Uwezo wake uwanjani. - Ushawishi na motisha uwanjani na hata kwa mashabiki. - Kujiamini uwanjani. - Morali ya...
  12. G

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Wachezaji wengi walipaswa kumchukua MKUDE kisha kulifanya darasa huru huyu kwani ni mchezaji wa pekee sana na sijawahi kuwaona wachezaji wa namna hii kwa kipindi kidogo, mwamba alisaini mwaka mmoja Yanga SC kutokea Simba SC. Nungunungu kama wanavyomuita alikubali mkataba wa mwaka mmoja ndani ya...
  13. G

    Mkeka wangu wa leo

    Wexford - Longford Total: (Over 2.5) 1.82 Akwa United - Heartland Akwa United Win 1.41 Lahden Reipas - JaPS 2 Lahden Reipas Win 1.52 Tallinna Kalev U21 - Tabasalu Total: (Over 2.5) 1.77 OLS Oulu - Rovaniemi OLS Oulu Win 1.39 Kuopion Elo - Hercules Halftime/Fulltime...
  14. G

    Kijiwe cha Mashabiki wa Real Madrid (‎Los Blancos)

    REAL MADRID imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya KUMI NA TANO (15) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi miamba ya Ujerumani, Borussia Dortmund kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Wembley, London. Borussia Dortmund walikuwa bora sana kipindi cha kwanza lakini walishindwa...
  15. G

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Kijiwe hiki kinawakutanisha mashabiki wa klabu ya Yanga wa hapa Kijiweni ambapo humu yatakua yanapostiwa mambo mbalimbali kuhusu Yanga pekee kama vile wachezaji , mechi za klabu na matokeo ya mechi
  16. G

    Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

    Hili Shirikisho sasa linahitaji damu mpya, hawa wameshachoka kufikiri.
  17. G

    Odds Zangu 5 Za Leo

    Maitland vs Charlestown Azzurri Total: (Over 2.5) 1.69 ESTONIA: Meistriliiga Paide vs Levadia DC & BTS: (X2 & YES) 2.49 AUSTRALIA: NPL Northern NSW Edgeworth E. vs Adamstown Rosebud Edgeworth E. Win 1.31
  18. G

    Tuzo Za Ligi Kuu Mnazipangaje?

    Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilika kwa michezo yote kupigwa kwa wakati mmoja ni wakati wako sasa kupanga tuzo zako kama mimi nimepanga hivi Ligi Imeisha Bingwa 👉 Yanga Mfungaji bora👉 Aziz Ki MVP👉 Fei Toto. Kipa Bora 👉Matampi Apo vipi ?