Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema

Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii.

Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake.

Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.

Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini.
 
Attachments

  • GOvONL6WkAA_aer.jpg
    GOvONL6WkAA_aer.jpg
    155.4 KB · Somwa: 0

Emma Mzirai

Mgeni
May 20, 2024
4
2
5
Hapana,haijakaa sawa kwani tuzo zinatakiwa zitolewe baada mshindi waKombe la CRDB kujulikana....kuliko kusubiri mpka msimu mpya inashusha hadhi ya Sherehe.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

DeviMitupio

Mgeni
May 27, 2024
9
4
5
Tuzo mpaka kwenye ngao ya jamii !!? Mnauhakika gani wachezaji walioshinda hizo tuzo watakuwa bado wapo ligi kuu Tanzania bara wakati usajili utakuwa umefanyika !!!
WAZO LA HOVYO KABISA
📌
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Richard

Mgeni
May 29, 2024
7
3
5
Lakini wameenda nje ya mda kwasabb tuzo zinaendana na kumaliza msimu ili utamu uzidi kunoga na waliyofanya vizuri wajivunie ubora wawo
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Mimi ninavyofahamu ni kua Tuzo ni event ambayo inajitegemea na hua inafanyika mwisho wa msimu-Njao ya jamii ni event nyingine ambayo inajitegemea ikiwa ni ishara ya kuuanza msimu mpya tena, hapa mshindi hua anapatikana na hutakiwa kusherehekea ushindi wake-Hii idea TFF naona mmeamua kuja nayo sababu tuzo za mwaka huu waliodominate nia Yanga na Azam na mchezo wa ngao ya jamii kwajili ya msimu wa 2024-2025 utaikutanisha Yanga na Azam regardless ya matokeo ya fainali ya CRDB cup yatakuwaje-TFF mmesahau kuwaza kua ipo siku tuzo zitakua dominated na timu ambazo hazikutani katika ngao ya jamii hamuoni kama mtachafua event zote kwa wakati mmoja (tuzo na mchezo husika) achana na mpangilio wa matukio ambao mara nyingi umekua changamoto kwenuMimi naona mmelichukulia bila uzito swala hili, mkaja na maamuzi ila hii ni wrong move na ili mjue sababu mnaenda kupoteza ladha ya tuzo na ladha ya mchezo wa ufunguzi ya ligi
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

cardo

Mgeni
May 29, 2024
3
1
5
Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema

Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii.

Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake.

Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.

Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini.
Wachezaji wengi watahama, sio sawa kabisa, bora ingekuwa wanaomba ushauri lakini sio walivyo fanya
 
Tff hawana kuomba wazo kutoka kwa vilabu vyetu..? Ingekuwa sawa kama pia wangeandika jumuiya ya vilabu imejadili kuwa tuzo zitolewe namna gani
 
Robbrygo JR

Mgeni
May 20, 2024
18
10
5
Hii itakuwa sawa endapo TFF watakubali kuwalipia Gharama za kuja nchin na kuondka pamoja na malazi, Kwa WACHEZAJI ambao huondoka kweny clubs zao either kwa kwenda ligi za Africa au hata Ulaya...na wapo kweny tuzo hizo.. Pili hilo Swala linachelewesha Profile ya mchezaj kukua 😭😭😭
 
salumsal

Mgeni
May 28, 2024
5
2
5
Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema

Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii.

Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake.

Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.

Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini.
Bola walivyofanya hivyo maan itawapa motisha wachezaji na viongozi kufanya vyema pia itaongeza ukubwa wa tukio na kuwa bora zaidi👌kwa upande mwengine itakuwa nikama siku special kwa mchezo wa mpira wa mou guu
 
berwin

Mpiga Chabo
May 29, 2024
2
0
0
Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema

Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii.

Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake.

Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya
Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.

Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini.
Nyie wapuuzi TFF msitusumbue Kwa mujibu wa kanuni namba 11(11) ya kanuni za ligi kuu toleo la 2023 inasema kuwa tuzo zitatolewa ndani ya siku zisizoidi 3 baada ya fainali ya kombe la shirikisho, kwahy mnavunja kanuni mkifikir ss ni wajinga hatuelewi, tunawaambia hvi hili halikubaliki.😓😓😓😓😡😡😡😡😡😡
 
bf27