Search results

  1. Sereweji

    NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

    Maneno ndoo hayo hayo kila msimu hana jipya ila usimkatie mtuu tamaa tusubiri pre seasons tuone simba itakavyokuwa ni suala la mudaa tuuuu
  2. Sereweji

    NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

    Maneno ndoo hayo hayo kila msimu hana jipya ila usimkatie mtuu tusubiri pre seasons tuone simba itakavyokuwa ni suala la mudaa tuuuu
  3. Sereweji

    Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

    Hiii TFF nahisi na bangi wanatumia
  4. Sereweji

    Simba wanaweza kufanya vizuri shirikisho mkashangaa

    Simba saiv tunaenda kuistjaabisha dunia shirikisho kwetu ni fursa mazuri yankuja unyamani Shirikisho pia nayo ni ligi note
  5. Sereweji

    MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA

    Kuna maisha baada yakutoa figo kama pesa haipoo muacheni tuu aende hakika kila kitu kinazaid yake nahisi atakuja mchezaji mwenye makal zaid ya azizi Mzee mpili punguza bangi