Simba tutakua hatuna mpinzani huko shirikisho tutakua tunapiga nje na ndaniSimba huku shirikisho walipoanguakia huenda msimu ujao wakafanya vizuri au wakafika mbali,kuna kitu kinaniambia !!..
aah wap kak izo ni ndotoHuko shirikisho timu huwa zina hasira sana Simba asipojipanga hata group stage hatoboi