Search results

  1. Rango21

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Wawe committed bila pesa,sasa mkondo wa mto utahamishwa kwa maombi au. ujenzi wa pale ni gharama ndo mana ujenzi unasuasua kutokana na nature ya eneo lenyewe kwahyo nguvu ya pesa ni muhimu pale
  2. Rango21

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Wewe unaongea kma nani Unakataa kwa mamlaka gani? Atakayekuslza wew na kukuunga mkono nae atakuwa ni mwehu vilevile anayetawaliwa na chuki kwenye akili yake na sio hoja logic. maana wote hpa ni mashahidi kuwa hakuna kinachoshindikana kukiwa na pesa,hata juu na chini ya bahari watu wamejenga...