Search results

  1. B

    FT : Simba SC 4 KMC Fc 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    Simba ya mwaka huu inatia moyo sana tutafika mbali
  2. B

    FT : Yanga SC 1 KMC FC 0 | Umeuonaje Mchezo? Una Lipi La Kuzungumza Mwananchi Wa KIJIWENI?

    Yanga shida hawaijui ila mda ukifka watajua tu,, maana chama saiv ni kijin watakuwa wanashida kamoja mwishowe sare zitamalaki, kwan sisi siilkuwaga hivi hiv akawa anatuponza miaka yote mitatu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kuna jambo lonakuja, masitaa wote hao kimoja tu haya niko paleee ngojen tu, wasiposhtuka mapema...
  3. B

    FT : Dodoma Jiji FC 0 Simba SC 1 | Umeyapokeaje Matokeo Haya Mwana Kijiweni?

    Kikubwa ushindi tu hakunaga fair hapa dunian akipewaa sawa tu ulitaka apewe nani sasa,, simba nguvh moja
  4. B

    Mwekundu Wa Kijiweni Panga Kikosi Chako Cha Leo Simba vs Al Ahli Tripoli

    Kikubwa ushindi tu lakin mimi ningependa mutale aanzie benchi
  5. B

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Simba niteam kubwa af uksema yanga na simba kama haisaund hivi binafsi napenda kutamka simba vs yanga hata kama yanga nmwenyeji aseeh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  6. B

    Gharama Za Kutumia Uwanja Wa AZAM COMPLEX Ndio Hizi Hapa

    Waongeze tu maana tuna team za kkoo zinajiita team kubwa kumbe hakuna kitu
  7. B

    FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

    Simba saiv inaweza kukaa nampira kwa dakka hata tatu had nne mpizan hahauchukua hakika tupo vzuri sana nguvu moja hiii ndo tulikuwa tunaitaka sasa
  8. B

    Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

    Aaah uswahili mwingi sana ndani ya hizi team and by the way maslah binafs ndoshida katika hili yaan
  9. B

    FT : NBC PREMIER LEAGUE SIMBA SC 3 TABORA UNITED 0 , Umeionaje Simba Ya LIGI KUU?

    Tupo vizuri moto utawaka sana time hii hatutaki mchezomchezo...nguvu moja