FT : Tanzania Prisons 0 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
352
482
25
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba umemalizika Kwa Wekundu Wa Msimbazi kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri lililofungwa na Che Malone Fondoh.

Umeuonaje Mchezo Wa Leo?