Search results

  1. W

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    1:camara 2:kapombe 3:zimbwe 4:chemalone 5: Hamza 6: kagoma or okejepha 7:mutale 8:mavambo 9:ateba 10:ahoua 11:balua
  2. W

    Timu Gani Inaongoza Kwa Kuwa Na Mashabiki Wenye Shangwe Sana LIGI KUU YA NBC?

    Mnyama vibe la kutosha then nyuma mwiko anafuata
  3. W

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    U Upo sahihi mkuu sema Jude Bellingham nae anastahili lakini izo sifa wanazowengi katika nominees
  4. W

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Apo wengi watapungua kwenye mkeka lakini for my self halaand na vin jr wana prority kubwa mana kigezo kikubwa ni UEFA na timu ya taifa japo Euro na copa america zinazingatiwa vini itakuwa fresh zaid👈
  5. W

    Simba Sc vs Tabora United : Panga Kikosi Cha Timu Unayoishabikia Na Matokeo Ya Mchezo

    1camara 2kijili 3hussein 4che Malone 5spear Jr 6okejepha 7awesu 8fernandezi 9mukwara 10ahou 11mutale
  6. W

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    Tusuburie muda utasema lakin Bora ayoub aondoke. Abaki Freddy na maana camara kawa Bora kuliko ayubu
  7. W

    Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Mimi mnyama admini lakini kwa Simba hii wanahitaji kitu kidogo Sana then fire 🔥🔥🔥🔥 zitaanza
  8. W

    Mchezaji Gani Imekuuma Sana Kukosekana Kwenye Kikosi Cha Msimu?

    TFF wamejitahidi kutoa tuzo sehemu husika kwa watu husika... Kongolee binafsi Amna alieachwa📌📌
  9. W

    MASTAA WALIOSEPA WAKARUDI BONGO…SIMBA NA YANGA USIPIME

    Mimi naona miqqiesoone Bado anakitu kikubwa Cha ku prove sitoshangaa akirudi tena bongo kwenye time kubwa👆👆
  10. W

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Admini upo sahihi kwa swala la kupapalikia wagen kuliko wenyeji lakini suala la chama kufurahia sub huo ni mwanzoo tuu ngona tuone mbeleni
  11. W

    Si Umeuona Usajili Wa Timu Yako? Fanya Kama Una Tangaza Mpira Mpaka Goli Linapatikana Kwa Kikosi Ambacho Mmekisajili

    Wooow ayoub lakrhed what a save ananzaaa ndefu kabisa kwa medition right futa Jean chearls ahouwa naam uwanja umeitika imepgwa kwa Steven mukwala what a dash kipa uku mpira kule anapiga magoti kusujudu. Steven mukwala 🤲🤲
  12. W

    Ahoua Jean Charles usajili bora zaidi Tanzania

    Naona Simba sasa imeamua kujenga timu yake Wana kijiwenii. kutokana na usajili wa mahitaji Simba Kila sehemu ya kikosi wamegusa kwa asilimia kubwa binafsi nategemea kuiona mbali #nguvumoja
  13. W

    Chama Anasajiliwa Yanga Kwa Ajili Ya Kuuza Jezi Na Kuongeza Tu Umaarufu Wa Brand Ya Yanga

    Chama kwa class yake anaenda kuongeza ufanisi yanga Mana yanga msimu Jana walikosa backup ya pacome,azizz n.k ila uingiaj wa chama inaa maanisha andongeza kitu kikubwa tuu ila ni pengo kwa mnyama mkali 🙄🙄 sababu Bado hana mbadalaa wake
  14. W

    Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

    Mbelembwe na undava undava🎈🎈
  15. W

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    Mo yupo sahihi sema simba Bado Kuna sitofahamu kubwa sana🤔🤔