Kitubwanasimba wanasahau ni kuwa huwezi expect mcgezaji akupe good performance ikiwa timu na management zima zinasuasua kocha wamebadilishiwa mara tatu alafu unategemea mchezaji akupe best performance we umeona wapi wasilaumu wachezaji bali walaumu uongozi wa Simba kwani uongozi usipokuwa imara...