Search results

  1. H

    FT : Vital'O 0 Yanga SC 4, Wananchi Mna Lipi La Kusema Baada Ya Mchezo Huu?

    Kolowizard ndo team gan,,,!! Acha ushamba kudharau team za nchini kwako!!! Huo n ulimbukeni!!!! Hebu kawape support coastal nao wajickie kidogo
  2. H

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Viungo wap wakabaji,washambuliaj ama kiungo wachezeshaj,,,fafanua hapo tafadhal
  3. H

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Hapana acheni kujiproud wananchi kikos kipo ila mmezngua
  4. H

    Ipi Ni TOP FIVE (5) Yako NBC PL 2024/2025?

    Simba Young african Azam Singida Costal Union
  5. H

    Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia?

    Tuipende simba yetu,nachukia baadh ya watu wanaojiita wakeleketwa lkn hawana moyo wa uvumilivu,,,na viongoz uchwara waliopo kwa maslah yao bnafc,,!! Simba sc nguvu moya
  6. H

    Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia?

    I love my simba sc but naumiaga kuona viongoz ambao wanafanya vtu ambavo vnaichafua club ya simba,tunapaswa sasa kuwa na viongoz sahihi kwenye club