Kolowizard ndo team gan,,,!!Kabla cjarudiana na Vital'O naomba mechi ya Kirafiki na Kolowizard ili vijana wachangamshe damu kidogo maana sio mechi ya kuikalia kambi nicheze tu na makolo
Sisi atuta sema San ila watasema waoMchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliowakutanisha Vital'O Dhidi ya Yanga umemalizika Kwa WANANCHI kuanza vyema hatua ya awali Kwa ushindi wa magoli manne Kwa Sifuri
Magoli ya kwake Dube , Chama , Aziz Ki na Mzize
Kolowizard anaogopa ubaya ubwela itamrudiaKabla cjarudiana na Vital'O naomba mechi ya Kirafiki na Kolowizard ili vijana wachangamshe damu kidogo maana sio mechi ya kuikalia kambi nicheze tu na makolo
We mshamba kweli wadhani n ligi kuu hii fu.......ck u boy kweli ww.Kabla cjarudiana na Vital'O naomba mechi ya Kirafiki na Kolowizard ili vijana wachangamshe damu kidogo maana sio mechi ya kuikalia kambi nicheze tu na makolo
Unanukia jangwan weweOngereni sana sana mtani kwa kuiwakilisha nchi yetu yaTanzaniavizuri pia kwa kunwakilisha vyema mama samia suluh hasani asanteni sana nyie ni kwa sasa nawaita JWT cz naamini mumekunywa maji ya bendera ya nchi yetu mumevuja jasho na kuipigania bendera ya Tanzania
na kuiweka nchi katika mikono sarama ikiwa inaamani ongereni sana wananchiiiiii
🗣
wewe ndio utakuwa na shidaa kwanii hujui ninii maana ya utaniiKolowizard ndo team gan,,,!!
Acha ushamba kudharau team za nchini kwako!!!
Huo n ulimbukeni!!!!
Hebu kawape support coastal nao wajickie kidogo