Search results

  1. N

    Yupi Ni Beki KATILI Kuwahi Kutokea Ligi Kuu Ya TANZANIA?

    namuona Juma Nyoso aisee nikatili kuanzia uwanjani hadi kwenye maamuz hamkumbuki alichomfanyia Boko mpaka akafungiwa na faini juu
  2. N

    FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

    m pira ulikuwa mzur ila mapungufu yafanyiwe kaz napia safu ya ulinzi ya Yanga nichujio wanampa tabu kipawao sana yani viongozi walitakiwa watafute Beki mmoja wa nyuma kijana ambaye watakuwa nae mudamrefu kidogo ila kwa safu ya ushambuliaji siyo mbaya japo Chama kunamechi na mechi mana mzito mno...
  3. N

    KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?

    Kibu D Kibu Denger anajifua Bongo hapahapa anamatatizo ya kifamilia ila kwenye Simba Day atakuwepo na trh 8 atakuwa amejaa tele pia