KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Kama kuna lingine lipo nyuma ya pazia ambalo hatulijui sawa ila kama ni masuala ya Passport yanajulikana wazi. Mfano leo hii ukipewa pass yako itakuchukua miaka kumi hadi kumalizika muda wake na kama suala la kuijaza basi itategemea na wingi wa safari zako. Ukija kwa mchezaji Kibu Denis ambaye inaelezwa kushindwa kuungana na wenzake kule nchini Misri ni suala Passport itakuwa ni uongo. Msimu mwaka juzi tu aliwahi kufanyia michakato passport yake na kupewa mpya kwaiyo siyo rahisi kuizajaza kwasababu Klabu ya Simba SC haikuwa na safari ambazo zingekuwa zimeifanya Pass kujaa haraka hivyo. Pengine kuna jambo lingine ambalo litakuwa linaleta utata kati yao.
 
Jul 21, 2024
3
0

Kibu D Kibu Denger anajifua Bongo hapahapa anamatatizo ya kifamilia ila kwenye Simba Day atakuwepo na trh 8 atakuwa amejaa tele pia