Search results

  1. R

    Benfica ilitinga robo fainali ya UEFA Champions League kwa msimu wa pili mfululizo kwa ushindi mnono wa 5-1

    Benfica waliandikisha ushindi wao mkubwa wa nyumbani wa UEFA Champions League na kujihakikishia kutinga hatua ya nane bora kwa msimu wa pili unaoendelea. Benfica ilitinga robo fainali ya UEFA Champions League kwa msimu wa pili mfululizo kwa ushindi mnono wa 5-1 katika mchezo wa mkondo wa pili...
  2. R

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Chelsea Wana kila kitu to play good football na kushinda mechi. The season isn't over yet so sitakua surprised na U-turn yoyote ambayo Chelsea wanaweza kuonesha mbeleni maana wanachohitaji ni ku-click tu. Huwezi doubt talent iliyopo pale, No way!
  3. R

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Mashabik wako serious, team haiko serious!!
  4. R

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    Ujinga mtupu aisee yan mtu ashasema hayupo tayar kucheza tena yanga anaomba mvunje mkataba nyie oooh arejee kambini aendelee na majukumu yake jaman muacheni akecheze anapotaka mbona imekuwa nongwa sasa
  5. R

    Barcelona wameshinda michezo yote saba ambayo Lewandowski amekosa msimu huu

    Na wamemshinda mara kadhaa Wengi ni wasifu wake tu Yeye ni gwiji wa barca Alikuwepo wakati barca haikuwa hata barca tena.
  6. R

    Argentina wamekubali yaishe garnacho ndan michezo miwili ya kirafiki Panama na Calicao

    Nadhani issue ya Gernacho kutokuitwa kwenye ile world cup 2022 kila mtu anaongea lake ndiyo maana kazungumza hvyo Mimi kwa maoni yangu sikuona kama kunahaja ya dogo kuitwa na ukizingatia timu ilikua inaenda kwenye mashindano si kwenye majaribio so inahitaji watu wa kwenda kupambana. Kuna...
  7. R

    Clement Mzize ana kipaji sana Yanga wampe nafasi sasa

    Kesho na keshokutwa Mama yake Mzize nae aseme Yanga ilikuwa inamtesea Mwanae
  8. R

    Yanga nao wametinga Robo fainali FA

    zize msirudie kumpa penalty mara ya pili Leo hii anakosa,tn Leo kapiga penalty ya hovyooo
  9. R

    Mipango ya baadaye ya Romelu Lukaku imethibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Inter

    Mkurugenzi Mtendaji wa Inter, Giuseppe Marotta amethibitisha kwamba mchezaji wa Chelsea aliyechezea kwa mkopo Romelu Lukaku anataka kusalia na kikosi hicho cha Serie A hadi msimu wa joto. Lukaku alijiunga na Inter kwa mkopo kutoka Chelsea baada ya kukatisha tamaa kwa miezi 12 Stamford Bridge...
  10. R

    Stori Kamili ya Genius Kiungo wa Soka na Legend "Luka Modric" ambaye anafahamika zaidi kwa Jina la Utani; "Lucky Luka"

    Ukweli wa Wasifu wa Luka Modric - Alimwabudu Ronaldo tangu umri mdogo: Modric alikuwa na nafasi laini si kwa CR7 lakini badala yake Ronaldo Luis Nazario de Lima. Mcroatia huyo aliwahi kudai Nilikua jozi yangu ya kwanza ya pedi za shin zilikuwa na picha ya Ronaldo Nilikuwa bidhaa ya Nike na...
  11. R

    Stori Kamili ya Genius Kiungo wa Soka na Legend "Luka Modric" ambaye anafahamika zaidi kwa Jina la Utani; "Lucky Luka"

    Hadithi Kamili ya Genius wa Kiungo wa Soka na Legend ambaye anafahamika zaidi kwa Jina la Utani; "Lucky Luka". Toleo letu la Ukweli wa Wasifu wa Luka Modric, ikiwa ni pamoja na Hadithi yake ya Utoto, inakuletea akaunti kamili ya matukio muhimu ya siku zake za ujana. Kisha tunakuambia jinsi...
  12. R

    Real Madrid ni klabu ya miujiza kamwe usiidharau linapokuja suala la ligi ya mabingwa usiwahi kudharau

    Real madrid akishasikia kale ka mlio cha UEFA umekwishaaπŸ˜‚ This Real Madrid hawajui kufa aiseee , they are ruthless freak of nature linapokuja swala la knockout stage UEFA wanakuwa watu wengine kabisa walizaliwa kwa ajili ya UEFA You just cant kill them , huwa hawana kabisa button ya kupaniki...
  13. R

    Liverpool Imerejea kwa ushindi

    Salah amerejea kwa kufunga, Arnold amerudi kwa asisti, Allison akitoka nje ya goli, Firmino na Jota warudi uwanjani, Liverpool warudi kwa ushindi. Mambo kurudi kawaida. YNWA. Ushindi mzuri na karatasi safi lazima ingerudisha tabasamu la mashabiki wote wa Liverpool Tunatumahi ushindi huu na...
  14. R

    π•πšπ§ 𝐍𝐒𝐬𝐭𝐞π₯𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu π†πšπ€π©π¨

    π•πšπ§ 𝐍𝐒𝐬𝐭𝐞π₯𝐫𝐨𝐨𝐲 kumhusu π†πšπ€π©π¨: "Ndoto yake ilikuwa kwenda Manchester United, alikuwa na mawasiliano na Ten Hag toka mwezi August. Hata mimi pia nilitaka ajiunge na United, ni timu yangu na pia naipenda lakini pia ni bora zaidi ya Liverpool na inatoa nafasi zaidi kwa wachezaji wao. Lakini...
  15. R

    Uchambuzi wangu wa Real Madrid

    Yeah. WC imewacost sana momentum yao Lakin pia na deadmeats kwenye squad kibao Kuna kipindi mazee 2016 ile kila mtu akitokea bench anaupiga mwingi Sa hv wanatumia wachezaj 14 tu au 15 Watu wanachoka asee Fatigue inawaumiza
  16. R

    Yanga vs Namungo ilikuwa ni routine win kwa Yanga

    Kwanza hongereni sana kwa ushindi wa. Kwenyeushauri nawashauri ongezeni umakini na hari ya kupambania timu,,isiwe ni wanaopambana ni fulani na fulani watafuteni wanasaikolojia ili wawape kitu wachezaji moraliyao iruditena.