Clement Mzize ana kipaji sana Yanga wampe nafasi sasa

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
Napenda sana na kufurahia jinsi kocha wa Yanga Prof. Nabi anamsimamia mmoja wa wachezaji wetu Clement Mzize kwa kumpa nafasi za kushindana katika kiwango cha juu, akiwa na urefu mzuri na ujuzi mzuri wa kumalizia anaweza kukuza na kuwa mmoja wa washambuliaji bora katika soka la 🇹🇿 kwa miaka 10 ijayo.

Ifike wakati Yanga wampe nafasi za kutosha huyu dogo ana kitu ndani yake

1677870344734.png
 
  • Like
Reactions: Rashidi and Kriss

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Kesho na keshokutwa utakuta Mzize nae anasema Mil4 ndogo mara Mama yake aite waandishi uchwara aseme Yanga ilikuwa ikimtesea mwanae, Hakika Shukran ya Punda Mateke😢