Search results

  1. ChichaMandi

    ๐Ÿ’ฅ Marcus Rashford Aweka Rekodi Yake!!!

    โœ๐Ÿฟ Marcus Rashford Sasa amefunga Mabao 5 ya Ushindi wa mechi akitokea sub Ambayo ni Mengi Zaidi ya mchezaj Mwingine Yeyote Katika Historia ya premier league. โœ๐Ÿฟ Marcus Rashford pia Sasa amefunga Mabao 12 Katika Premier League akitokea sub,Ni wachezaj Wawili Pekee Katika Historia ya Manchester...
  2. ChichaMandi

    2023, ARSENAL ASHUKE

    Oya ๐Ÿ˜‚
  3. ChichaMandi

    Martin Odergard Maestro ๐ŸŽฉ

    Ukiniuliza Nani Mchezaji Bora Wa Epl mpaka Sasa Kwa kujiamini nitakujibu martin Odergard Kwa nini..?? Bwana Mdogo Anatupa kitu Sana arsenal hasa like Eneo la Mbele Odergard analitumia Vizuri Eneo la half space. Martin Odergard Anafanya vitu vingu Sana Akiwa Kwenye half space Anakuwa na chaguzi...
  4. ChichaMandi

    Liverpool Inahitaji Quality Midfielder..!

    Ukiangalia Liverpool Kwa Sasa bila Thiago au Fabinho Inakuwa kama kuku aliyekatwa Kichwa. Nimeangalia game 3 carabao Dhid ya Manchester City,Epl Dhidi Ya Aston villa na game ya jana Dhidi Ya Leicester City ukiangalia Kwa jicho la Ufundi unagundua mechi zote hizo Liverpool ilizidiwa Eneo la...
  5. ChichaMandi

    Manchester United Kupata Mfadhili Mpya Ambay Ni Msaudia..!

    EplWorld inaripoti kuwa mkurugenzi mtendaji wa Manchester United Richard Arnold Alifanya majadiliano na mamlaka ya Saudia Kwa Ajili Ya ufadhili wa jezi unaowezekana Ambapo jezi Kwenye kifua isomeke โ€œVisit Saudia".hakuna hatua Zaidi zilizochukuliwa Tangu mkutano huo ambao ulifanyika Kabla ya...
  6. ChichaMandi

    Playmaker Ni Nani Kwenye Soka...??

    Katika mazingira Mengi,kuna uelewa tofauti Sana kwq Baadhi ya juu ya watu Neno Playmaker na Namna linatumika Kwenye Mpira,kikwetu.playmaker anachukuliwa mtu anayetengeneza assits nyingi na Nafasi Nyingi na ndio kigezo kikubwa Cha Kumpima playmaker.Ni Nani Maana Halisi ya Playmaker??Ni Lazima...
  7. ChichaMandi

    Manchester United โœ๐Ÿฟ

    Manchester United Wanaweza kuachana na De gea Mkataba wake Ukifika tamati,mkufunzi eric ten Haag pia anahitaji Mlinda lango mwingine na atabariki jambo Hilo Kwa Mikono miwili. Ila kitendo Cha Manchester kumpuuzia Mlinda lango wa Brighton & hove Albion Robert Sanchez kinaweza kuwafanya wajutie...
  8. ChichaMandi

    Unamjua Mtanzania Wa Kwanza Kukutana Na Pele..?

    Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท x Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mtanzania Prof Mark Mwandosya Anabakia kuwa Miongoni Mwa Watanzania Wachache waliowahi Kukutana na kupiga picha na Gwiji Wa Soka Duniani,Edson Arantes Do Nascimento โ€œPele" Ambapo walikutana Uwanja Wa Ndege huko Dubai mwaka 2015. Kwenye picha Kutoka Kushoto kwako ni mke...
  9. ChichaMandi

    Halaand Jini ๐Ÿ™Œ

    Erling Halaand Amekuwa Mchezaj Wa Kwanza Kwenye Kufunga Magoli 20 Premier League Haraka Zaidi Kwenye Historia. Erling Halaand mechi 14 โšฝ 20 Kalvin Philips mechi 21 โšฝ 20 Fernand Torres mechi 27 โšฝ 20 Alan Shearer mechi 29 โšฝ 20 Sergio Agรผero mechi 30 โšฝ 20 Halaand Anashikilia pia Rekodi ya Kufunga...
  10. ChichaMandi

    Taarifa Zilizotoka Ni Gwiji Wa Soka Pele Amefariki

    Gwiji Wa Soka Duniani Amefariki Dunia Akkwa Na Umri Wa Miaka 82. Greatest Of All Time Rip ๐Ÿ•Š๏ธ
  11. ChichaMandi

    Cody Gakpo Ndani Ya Liverpool โœ๐Ÿฟ

    Unawaza kama Mimi Kuhusu Cody Gakpo. Ukiangalia Kwa makini tunaweza gongana Mawazo kuhusuana na Nafasi ya gakpo pale Liverpool Kwa kuangalia Mkataba Mrefu aliopatiwa na umri wake.Gapko anaweza kuwa mrithi wa Roberto firmino hapo Baadae. Unakumbuka firmino Alikuw ni CAM(#10) LW(#11) na Baadae...
  12. ChichaMandi

    โ€œLa Morte Di Chievo Verona"

    Nini Tena Eh Kwa nin
  13. ChichaMandi

    โ€œLa Morte Di Chievo Verona"

    La Morte Ni Neno La Kitaaliano Limebeba Ujumbe Wa Kifo na Hivi ndio tunaweza Kusema Kwa Sasa juu ya timu hii Chievo Verona na kwa jina lao Maarufu hua tunafahamu kama wa โ€œwakombozi wa ngambo" ila Kwa Sasa sio wakombozi Tena Bali wao ndio wanaohitaji Ukombozi. Verona ni Moja ya Timu za Kawaida...
  14. ChichaMandi

    KIPARA LEO ANACHACHUKA

    Kubwa jinga tunampat Leo
  15. ChichaMandi

    Yanga Yatuma Ofa Ya Rasmi Azam

    Rasmi Sasa Klabu Ya Yanga Imetuma Maombi Ya Kutaka Kuwasajili Wachezaj Wawili Kutoka Azam Akaminko Na Kiore Jr
  16. ChichaMandi

    Nottingham Forest

    Kwa Nini Nottingham Forest Hawana wafadhili(sponsor) Kwenye jezi zao. Kwa mujibu wa sport business, forest wakishikilia mkatab wa udhamini wa pauni 10m Kwa mwaka. Mwanzo Walipokuwa championship walikuwa wanadhaminiwa na kampuni ya BOXT Lakini walishindwa Kuendelea Kwa kampuni Hiyo Kushindwa...
  17. ChichaMandi

    Arsene Wenger Ndani Ya Emirates โœ๐Ÿฟ

    Ujio Wa Arsene Wenger Na Uwepo Wa Thierry Henry Vavavooom Na Viongozi Wengine Pale Emirates Haikuwa Jambo La Bahati. Wale Walikuwa Na Jambo Lao Lengo Ni Kuhakikisha Arsenal Wana Kuwa Mabingwa Wa Premier League. Kazi Wenger Ilikuwa Kuongea Na Vijana Aliowalea Na Kuwa pandisha Timu Ya Wakubwa...
  18. ChichaMandi

    Cody Gakpo Ndani Ya Liverpool โœ๐Ÿฟ

    Dau La Pauni 37m Na Ongezeko La Mpaka Pauni 50m. The Man Is Electric โšก Ana Uwezo Wa Kucheza Kwenye Winga Wa Kushoto Na Kulia Kwa Ubora Mkubwa,Pia Anaweza Akacheza Kama Namba 10. Klopp Anaendelea Kuboresha Kikosi Chake Kama Diaz Na Jota Wakirudi Klopp Anakuwa Na Machaguo Mengi Sana Eneo La...