Manchester United tuwe wapole tu kwenye huu usajili

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Manchester United tunalilia usajili na kuhuzunika baadhi ya wachezaji tunao wakoksa bure tu laikini
Kwa timu kama UTD hatuwez kusimama kwa mchezaj mmoja....timu kama Man City ambazo zimesimama tayar zinaongezea watu mmojammoja kama hivyo ila sisi we need mfumo mzima wa wachezaji wenye quality zinazofanana unapata uwiano na timu ina balance...
Sasa ukinunua mchezaj kama Mbappe halaf awaache wengine mbali kwa quality, bado tutafeli. Kwa sasa naona tutengeneze timu tu taratibu

Mr. Acacia
30476a59-5d78-46dc-8bac-bb7c678c7ab1.jpeg
 
ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Manchester United tunalilia usajili na kuhuzunika baadhi ya wachezaji tunao wakoksa bure tu laikini
Kwa timu kama UTD hatuwez kusimama kwa mchezaj mmoja....timu kama Man City ambazo zimesimama tayar zinaongezea watu mmojammoja kama hivyo ila sisi we need mfumo mzima wa wachezaji wenye quality zinazofanana unapata uwiano na timu ina balance...
Sasa ukinunua mchezaj kama Mbappe halaf awaache wengine mbali kwa quality, bado tutafeli. Kwa sasa naona tutengeneze timu tu taratibu

Mr. Acacia
View attachment 965
Timu Haina Hela
 
  • Like
Reactions: Brenda

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Manchester United tunalilia usajili na kuhuzunika baadhi ya wachezaji tunao wakoksa bure tu laikini
Kwa timu kama UTD hatuwez kusimama kwa mchezaj mmoja....timu kama Man City ambazo zimesimama tayar zinaongezea watu mmojammoja kama hivyo ila sisi we need mfumo mzima wa wachezaji wenye quality zinazofanana unapata uwiano na timu ina balance...
Sasa ukinunua mchezaj kama Mbappe halaf awaache wengine mbali kwa quality, bado tutafeli. Kwa sasa naona tutengeneze timu tu taratibu

Mr. Acacia
View attachment 965
Mwl kasema hv tunahitaj STIKER lakin sio ilimlad kuleta tu mtu kwanza
1. Lazma awe mtu sahihi yan anafit mfumo wake
2. Lazma Bei iwe reasonable
3. Kasema yeye hata sajili watu ilimrad tu kujaza timu

Kwahyo kuwa na subra mkuu sasa hz Mwl. Ndio anaamua aletew nan kama wenyew watajiramba ramba sawa lakn hawez kuletew Mtu ambaye yeye hajapoint bora abak na akina garnacho✍️