Search results

  1. B

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Sem kwl lundo la wachezaji wazur wakigeni liatufarij lkin kiwango cha timu ya taifa Bado kidogo sabab hpat ata Radha ya kuangalia game ya timu taifa huoni mipango lkin Kwa clubs unaona kbc mipango inasetiwa vzur mpira unaenda kwenye njia zake nk
  2. B

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Wengine wooote watapungua itabki mtu tano ndani ya track Moja yaΓ ni 5-Lutaro Martinez 4_Jude Bellingham 3_Viniciours 2_Halaand 1_ Mbape Halfu sasa naona kbc Bellingham ndo mshindi
  3. B

    FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO πŸ˜…

    Natamani kucheka ila naogpa🀣🀣🀣🀣🀣 kiwango kibovu
  4. B

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    Acha ligi ianze kilicho Bora kitaonekana huenda akawa mwiba mkali kwa walinzi wa timu pinzani muda utaongea
  5. B

    Dirisha La Usajili Linafungwa Leo,Umeridhika Na Usajili Uliofanywa Na Timu Yako?

    E / Meza wa Azam fc Blanco wa Azam fc wachezaj wazuri moto utawaka
  6. B

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Simba bado sana acha kwanza msimu huu upita msimu ujao ndo watakuwa na timu nzur na yaushindani
  7. B

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Kelvin kijili ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Mutale ni machachali siyo hatarii
  8. B

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Navyoona Mutale ni machachali si hatarii kbsa Kelvin kijili on πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Ushambuliaj Bado pia kutengeneza nafasi simba hawatengnez